Mkuu kuna kamoja uliniambia utanigawia ila ndo hivyo tena geeeee mpaka leoHaka hatuna mpango wa kukaacha. Na atakayetuibia huyu mrembo tunamNasra wallah.
Afu nawe Afroie, nifanyie mpango basi unilishe limbwata.
Dah inabidi tukae pembeni tu.....LolHaka hatuna mpango wa kukaacha. Na atakayetuibia huyu mrembo tunamNasra wallah.
Afu nawe Afroie, nifanyie mpango basi unilishe limbwata.
Kamata Faiza Foxy. Fasta kabla Rejao hajakuwahi.Mkuu kuna kamoja uliniambia utanigawia ila ndo hivyo tena geeeee mpaka leo
ZD tulimfumania na mzee mwenzangu DC. Sasa kwakuwa wazee hatudhuriani, nilimkabidhi pamoja na ujauzito wa mapacha nliommgea. Hivi sasa DC analea vidume vyangu. Kimoja kwa navyoviona kitakuwa kicheza mpira (AFC si mko ligi kuu, mtakachukua) kale kengine kama hakatakuwa katekista basi katakuwa kamwalimu ka kwaya....... Nawaonea huruma sana waimbaji wa sauti ya kwanza.:violin:hii nimeikubali....lakini hukusahaulika babu...hivi ZD ulishampa talaka...?
wewe una mtu au upo single tuanounce new couple sasa hv
Yaani hata sisi wazee wenye kudumisha mila mmetusahau?
ODM a.k.a Babu Aspro na Kongosho, na nyumba zetu ndogo Blaki woman,(huyu ana mimba yetu) Lily Flower, (haka tulikabaka)Keren_Happuch (kwa hisani ya klorokwini), Firstlady,(huyu alijileta mwenyewe) Eliza wa Bunju,(tulimkamatia baa) Afrodenzi,(haka ndo katamu zaidi) Dena Amsi (mh) Obsesd (huyu yuko martenity ward, tulimchukua akiwa na mimba ya dreva wa treni) na wengine atawataja Kongosho asali ya ODM.
Bado kuna nafasi kwa wanaohitaji. Naanza mimi anamalizia Konngosho asali ya ODM.
Eliza wa Tegeta + ????????????
Kongosho + ????????
Aspirin + ??????????
Kaizer + ???????????
Hivi ile trip ya zanzibar figanigga alikuwa anasafiri nani? Maana hiyo nayo ni kapo.
HANIPENDI YULE ONA ALIVONIFANYA
I love you my darling shem. Lets go dancing huh lalala!:lalala::bange::drum::violin:Regards to all with Love....
P.S. King'asti I am glad you are back dearest....
Nakutafuta, simu umeacha wapi manake inaita tu haipokelewi.
Eliza wa tegeta yupo na mwanakijiji wake wametulia kama hawapo. siku moja eliza apotee uone mzee mwanakijiji anavyo haha. Ukweli wanapendana sana.
Regards to all with Love....
P.S. King'asti I am glad you are back dearest....