Waooo! Bora umekuja asali wa moyo wangu...My sweety love i love you so much siwezi kuwa mlevi kama bishanga, bishanga alishashindikana
Achana nae darling wala asikupe presha kwa hayo maneno yake!Bishanga hapa umesema neno gani? Au unamtaka SL?
Hapana swahiba. Namba 8 ndio best couple, uliza utaambiwa.We preta, sisi namba moja ndio best couple eeh?
The Finest + Jux (ingawaje The Finest bado anamzungusha mwenzie)
Hapana swahiba. Namba 8 ndio best couple, uliza utaambiwa.
Kwa sasa hufai..ila ikilazimika ruksa ingawa humu hakuna saizi yako....LolSawa bro, kwani siruhusiwi kuwa na wakunipunguza stress na mikiki ya Structual mechanic na Road maintanance???
una hela weye ya kwenda joji n dragon?mara ya mwisho umeonekana bulyaga temeke,bar kubwa utadhani uwanja wa mpira.
Hahahaaa Bishanga huyu jamaa ni noma naona wanashirikiana na Rejao ingawa Rejao ni wa SISIEMU lolNitts yuko arumeru,ye kazi yake anakodishwa kuwabeba wagombea juu kwa juu wakishuka kwenye helikopta,hajalishi ni wa chama gani,akikodiwa na ccm sawa,wakija tlp sawa,chadema sawa,ye mradi hela tu.
Hahahaaaa Mtindi wacha kunipa raha mie wataka nikweee hadi kwa ******
Ntake radhi swahiba, nimemkwapua toka kwa nani???we si umemkwapua nitonye kwa desh desh...?
Tobaaaa!Hahahaaa Bishanga huyu jamaa ni noma naona wanashirikiana na Rejao ingawa Rejao ni wa SISIEMU lol
Halafu anakuita wewe mlevi....ingawa namjua yeye ndo mlevi hadi alimsahau mkewe kwa mwezi mzima nikawa namsaidia kumtunza....
My sweety love i love you so much siwezi kuwa mlevi kama bishanga, bishanga alishashindikana
Hawajaelewana mpaka leo swahiba. TF mbaya kweli.hehehe! Hivi hawajaelewana tu! Dah.
We preta, sisi namba moja ndio best couple eeh?
Eliza wa Tegeta naye.. Mcharuko sana!.
Wamekutana wote mcharuko, aliyekwambia Bishanga katulia ni nani?
yaani nilikuwa sijui,nimewekeza sana pale,RAV4,nyumba tegeta,wadogo zake nimepeleka ulaya.....we acha tu,hapa ni maumivu makali,poa lakini yote maisha.
Hahahaaaa Kaazi kwelikweli....sitaki hata kumsikia,kumbe ana mtu aisee,uuuuuuuwwwwwwiiiiiiii weekend yangu imaharibika,nakwenda kujifungia ndani,kujishaua kote huko,du!
Aliyekupa rukhsa ya kumquote my sweet husband ni nani?wee nae tangu upate uhedimasta ya hiyo chekechea umeringa.
Mkeo kawa kama mpira wa kona, anagombaniwa tu.
Unakuja kupoza na i lov yu huku bado umevaa?
Hebu mfanyie ze nidfu haraka.
Hahahaaa leo unajifanya hukumbuki eeeee?Tobaaaa!
Thibitisha au kanusha kauli yako kuwa umemsaidia nitty kunitunza..
Lolwe si umemkwapua nitonye kwa desh desh...?