Jf Couples (New Version)

Kwanza...........kamata hii.........


halafu.........una accounnt benki kuu?? I am banking with them, kama huna, kafungue, itakuwa rahisi mimi kukufanyia transfer!!!

U know wara i mean!!
King'asti STUKA!
 
Hivi Nitty yupo kweli au ndo keshakamatwa na Jimama kakusahau maana hata kuonekana siku hizi haonekani kabisa.....
Nitts yuko arumeru,ye kazi yake anakodishwa kuwabeba wagombea juu kwa juu wakishuka kwenye helikopta,hajalishi ni wa chama gani,akikodiwa na ccm sawa,wakija tlp sawa,chadema sawa,ye mradi hela tu.
 
Nitts yuko arumeru,ye kazi yake anakodishwa kuwabeba wagombea juu kwa juu wakishka kwenye helikopta,hajalishi ni wa chama gani,akikodiwa na ccm sawa,wakija tlp sawa,chadema sawa,ye mradi hela tu.
Khaaa Bishanga!!! Kwa dhiki ipi aliyonayo?
 
Hapa mnatongozana au mmeshatiana moyoni tayari kwa posa??!!

Mimi na mjomba uncle MMKJ tutawasaidia kupeleka posa!
mshikaji mbona unaniumbua kweupe hivi? kujidai koooooote kumbe Mwanakijiji ndo anajinafasi? basi bana kwa hasira nahamia CCM.
 
Daaaah E wa T upo? Bishanga alikua anakuulizia sana,kutwaa kukutaja!
sitaki hata kumsikia,kumbe ana mtu aisee,uuuuuuuwwwwwwiiiiiiii weekend yangu imaharibika,nakwenda kujifungia ndani,kujishaua kote huko,du!
 
Ole wake mtu atangaze koloni langu, nitakuwa mkali kama eliza wa tegeta au mama enock au mama babu.

Afu hivi vimwanamme snacks vyangu navyo kwa mbwembwe, ndo maana vinazabuliwa mabao lol.
 
Ole wake mtu atangaze koloni langu, nitakuwa mkali kama eliza wa tegeta au mama enock au mama babu.

Afu hivi vimwanamme snacks vyangu navyo kwa mbwembwe, ndo maana vinazabuliwa mabao lol.
Kwani mateka ulishamwachia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…