Eeeh bana eehh.....
napenda kuchukua fursa hii kutambua uwepo wa pea ziliopo humu ndani.....
kutokana na uzi huu........https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/55860-couples-za-jf-ni-hizi.html....naona wengi wapo chali.....nikimaanaisha wameachwa/acha...fumania/fumaniwa na hata wengine ni wajane...
sijui maisha ya couple mpya yatakua marefu au ndio yataishia kama hizi za mwanzo zilizolala chali.
Haya yatakuwa yakudumu manake wengi wamejifunza kutokana na makosa lol...Eeeh bana eehh.....
napenda kuchukua fursa hii kutambua uwepo wa pea ziliopo humu ndani.....
kutokana na uzi huu........https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/55860-couples-za-jf-ni-hizi.html....naona wengi wapo chali.....nikimaanaisha wameachwa/acha...fumania/fumaniwa na hata wengine ni wajane...
sijui maisha ya couple mpya yatakua marefu au ndio yataishia kama hizi za mwanzo zilizolala chali.
Nimejua umekumbuka jf udaku wewe! Ulipotelea wapi?hii mada inanikumbusha enzi zileeeee....za naniliii...
Eeeh bana eehh.....
napenda kuchukua fursa hii kutambua uwepo wa pea ziliopo humu ndani.....
kutokana na uzi huu........https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/55860-couples-za-jf-ni-hizi.html....naona wengi wapo chali.....nikimaanaisha wameachwa/acha...fumania/fumaniwa na hata wengine ni wajane...
sijui maisha ya couple mpya yatakua marefu au ndio yataishia kama hizi za mwanzo zilizolala chali.
kwa sasa naona wananchi wana itikadi kali sana......wazalendo wanakaba mpaka basi....
btw....wewe ulikwenda wapi siku zote hizo...?
Haya yatakuwa yakudumu manake wengi wamejifunza kutokana na makosa lol...
Nitty alimaliza kifungo,yuko wapi kwani?
heheh...umejuaje!!? nipo mbona..sema huwa mara nyingi naingia kimya kimya tu kuangalia mambo yetu yale si unajua tena JF full kujiachia...Nimejua umekumbuka jf udaku wewe! Ulipotelea wapi?
Kuna kazi imembana kidogo ndio mana kapotea... Nimwambieje?Nitty alimaliza kifungo,yuko wapi kwani?
Kwanini kimya kimya bana? Unaona sasa umekosa mwenza lol.heheh...umejuaje!!? nipo mbona..sema huwa mara nyingi naingia kimya kimya tu kuangalia mambo yetu yale si unajua tena JF full kujiachia...
kwa sasa naona wananchi wana itikadi kali sana......wazalendo wanakaba mpaka basi....
btw....wewe ulikwenda wapi siku zote hizo...?
basi mwenzio mi ndo nilitaka kuuliza wewe mbona unaonekana kwa nadra sana.
mi mwenzio nipo,sema nachungulia zaidi kwa nje.
Kuna kazi imembana kidogo ndio mana kapotea... Nimwambieje?
Nina hamu ya kuongea naye "kiluga"
Nitty ndio yupi?Nitty alimaliza kifungo,yuko wapi kwani?
subiri siku ukifumaniwa ndo utajua kwa nini punda alinyimwa pembe akapewa mlio!Najua sana sasa mpango mzima ni yeye na mpango wa kando ni Rock
unatutishia nyau sio? kwani tunakusingizia,au siku hizi baada ya kuchacha umetulia (zamani nasikia ulikuwa customs officer namanga).Bishanga na Rocky unajua kuna lawyer mmoja hivi alibadili clause fulani...
Haya, nimerudi.
Tf nasikia mimi na wewe katufungulia RB,kisa eti tunamharibia kwa wake/hawara zake kwa kumuanika.Mhhh kwani SL hamjui TF kuwa huwa hatulii na macho juu juu
Akienda akirudi mambo yote yameisha anaanza upya
Smaaaaili,be careful,unacheza na waya wa moto,TF unamjua unamsikia,muulize Husn,SL...........,chezea TF wewe!A Friend....
ccepts you as you are
(B)elieves in "you"
(C)alls you just to say "HI"
(D)oesn't give up ! ! on you
(E)nvisions the whole of you (even the unfinished parts)
(F)orgives your mistakes
(G)ives unconditionally
elps you
(I)nvites you over
(J)ust "be" with you
eeps you close at heart
oves you for who you are
(M)akes a difference in your life
(N)ever Judges
(O)ffer support
(P)icks you up
(Q)uiets your fears
(R)aises your spirits
(S)ays nice things about you
(T)ells you the truth when you need to hear it
nderstands you
(V)alues you (W)alks beside you
(X)-plains thing you don't understand
(Y)ells when you won't listen and
(Z)aps you back to reality.....
LOVE U BROTHER
Eeeh bana eehh.....
napenda kuchukua fursa hii kutambua uwepo wa pea ziliopo humu ndani.....
kutokana na uzi huu........https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/55860-couples-za-jf-ni-hizi.html....naona wengi wapo chali.....nikimaanaisha wameachwa/acha...fumania/fumaniwa na hata wengine ni wajane...
sijui maisha ya couple mpya yatakua marefu au ndio yataishia kama hizi za mwanzo zilizolala chali.
YESU ANATUPENDA TUTUMIE VILE UPENDAVYO,ili tusiwe chali aisee.
Yaani hata sisi wazee wenye kudumisha mila mmetusahau?
ODM a.k.a Babu Aspro na Kongosho, na nyumba zetu ndogo Blaki woman,(huyu ana mimba yetu) Lily Flower, (haka tulikabaka)Keren_Happuch (kwa hisani ya klorokwini), Firstlady,(huyu alijileta mwenyewe) Eliza wa Bunju,(tulimkamatia baa) Afrodenzi,(haka ndo katamu zaidi) Dena Amsi (mh) Obsesd (huyu yuko martenity ward, tulimchukua akiwa na mimba ya dreva wa treni) na wengine atawataja Kongosho asali ya ODM.
Bado kuna nafasi kwa wanaohitaji. Naanza mimi anamalizia Konngosho asali ya ODM.
Eliza wa Tegeta ni mke wangu wa ndoa bana,hapa tunaongelea jf couples (mfano ..... + Rocky).Bishanga + ??????? (Ila inaonekana umemdondokea sana E wa T)