Jf Couples (New Version)


Hahahaaaa mpaka nimepaliwa,kuna watu mmepinda humu
 
Hahahaaaa mpaka nimepaliwa,kuna watu mmepinda humu
Sasa mbona unacheka bila kunigongea LIKE? Unajua mtu akicheka kwenye post zangu afu asikagonge kale kadude, kikojoleo changu hakisimami kwa wiki moja unusu. Unataka wazembe wanichukulie mama watoto wangu mchana kweupe nikiwa naangalia? Hebu ka do the needful kabla baioloji yangu haijazurika:crazy:
 
Nawatakieni mahusiano mema kwa wale wapya pia nawasihi wawe wavumilivu maana UVUMILIVU NI DARAJA LA USTAARABU HATIMAYE UPENDO WA KWELI.

Naungana nawewe bro kuwatakia mahusiano yalo mema, hv wewe bro hauna shemeji humu ndani??
 

dah kumbe mi sina bwana
pole zangu
 
Lizzy.....??????
G.Mpoleeeeeeeeeeeeeee?
Jane.................??
hawa sijaona couple zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…