JF Competition 2012: Judges & Sponsors

Superman

R I P
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,708
Wanabaraza wa JF na Wadau

Kufuatia mjadala uliopo: https://www.jamiiforums.com/habari-...-and-women-of-the-year-2012-competition.html; sasa tunasonga mbele zaidi ili kuhitimisha hatua nyingine ya mchakato huu.

Kitu cha msingi kwa sasa ni kuweza kupata Majaji 7 na pia Sponsors. Majaji hawa ndio watakoendesha mchakato wote wa mashindano haya kwa kuzingatia vigezo vyote ambavyo wadau mmependekeza. Kwa hiyo tunaomba sana mapendekezo zaidi ya Judges na pia Sponsors wajitokeze.

So far: Judges ni kama wafuatao:
Teamo; AshaDii; Superman

Updates: walioongezewa ni: SnowBall; Nyani Ngabu

Bado tunahitaji majina mengine ili kukamilisha list ya majaji 9 hadi 11. Please toa mapendekezo yako.

Mpaka sasa sponsors waliojitokeza ni:
Mamndenyi; mwaJ; Kyachakiche; Superman

Updates: waliojitokeza zaidi ni: Teamo; Bishanga; obama wa bongo; Zogwale; WABHEJASANA; Mwakalinga Y. R; Thanda

Bado tunahitaji sponsors zaidi wajitokeze kutoa zawadi mbalimbali.

Pia bado tunapokea maoni yenu kuhusiana na:

Kwa mwaka huu tunahitaji maoni na mapendekezo juu ya:


  1. Categories za Majukwaa ya kushindaniwa au mapendekezo mbadala
  2. Utaratibu wa Mchakato wa kupata washindi
  3. Mchakato wa upigaji wa kura
  4. Mapendekezo mengine yoyote ya kuboresha.

Wasalaam

Signed & Sealed:

Superman

Mwenyekiti - Tume Ya Uchaguzi ya JF (JEC)

 
Last edited by a moderator:
Superman habari za maandalizi ya mwaka mpya,
vipi haukujaliwa kwenda tanga mkuu.

Mkuu, ndo kwanza nimeiona thread maana nilikuwa mapumziko. Ningeiona mapema ningekwenda. Vipi unakwenda huko?
 
Superman naona vijana walijipanga kwa speed ya 100% hivyo tumeshtuka safari iko tayari,
labda wakati mwingine endapo Mungu atatoa kibali.

Mkuu, ndo kwanza nimeiona thread maana nilikuwa mapumziko. Ningeiona mapema ningekwenda. Vipi unakwenda huko?
 
Last edited by a moderator:
nieke kwenye position ambayo unaona mie nitafit. ila sasa nitaomba ukubali niondoke miongoni mwa contestants ili kuwepo na fairness. AshaDii accept my apology.

Kungwi gfsonwin; kuwa Judge ni hiari lakini kuwa mshindani ni haki ya kila mwana JF na wale wanaokupendekeza. Unaweza kuwepo kote. Ila category utakayoshindanishwa kama utakuwepo, hutaruhusiwa kuwa Judge,
 
Last edited by a moderator:
okay okay...!

i will cash in 30,000/=..ni pesa ndogo lakini naomba niwe mmoja wa watakaofadhili

Kamanda wangu hongera sana. TZS 30K ni pesa nyingi sana tofauti na unavyofikiri. Ngoja ni-update Sponsors list.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…