JF chit-chat white-brigade!

Mamndenyi Kifanyio cha Arushaone kina uhusiano gani na kitengo ulichopangiwa?!!!!

Nimeshatoa angalizo hapo juu.

Huyo manka muda wote anawaza kufanyana tu. tangu alipogundua utamu wa kufanyana basi ni tabu tupu..
 
Last edited by a moderator:
Huyo manka muda wote anawaza kufanyana tu. tangu alipogundua utamu wa kufanyana basi ni tabu tupu..

Mkuu Baba V tatizo la Mamndenyi ni talaka za kila siku. Kama angetulia na mwanaume mmoja wala asingefikia hatua hii ya kuumizwa kichwa na vifanyio vya wanaume wasiokuwa wake.
 
Last edited by a moderator:
mzee asante hata kwa kunikumbuka,
kwa sasa siwezi kufanya kazi na Arushaone kutokana na kuwa kifanyio chake kipo kwenye chupa huko kwa akina Katavi, hivyo siyo mkamilifu,

Napendekeza nipangiwe kazi na Bishanga, hata iwe ya ukorokoroni niko poa.

Mamndenyi hivi nyie wanawake wa huko uswazi muda wote tu mnawaza vifanyio? Kama ndivyo basi mtulie katika ndoa zenu na kujiepusha na talaka za daily ili muvi-enjoy hivyo vinanihino!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Last edited by a moderator:
Huyo manka muda wote anawaza kufanyana tu. tangu alipogundua utamu wa kufanyana basi ni tabu tupu..
Baba V Hayo ni madhara ya kuonja ladha ukubwani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu si unamjua huyu anavyopenda shikamoo!!! LoL!!! πŸ™‚ πŸ™‚ Ndiyo maana hung'ang'ania udada ili azikusanye nyingi.

Hivi wewe hii kesi utaendeleza mpaka lini? Hebu acha kuita dada zako wadogo zako. Ila mie sijambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…