jf chit chat taaaaamu!

mpoleeee

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
310
130
vilaza, wenye akili akili kama mm, wachovu, werevu kama mm, wabish, masupar star kama mm, wakali, wapole kama mm, wabaya, wazuri kama mimi, woooote mnakua level moja mkichangia. Bonus kuna watu wa mana hat waspochangia wakujia pm.

Chit chat kweli taaaam.
 
KUNA MAHALI NIMEONA UMEANDIKA HV ikitokea tukataka ku sex lazma condom sijapima bado
INA MAANA POLEE SHOST UPO TAYARI KUSEX NA WHOEVER ,WHEREVER?

hapana. Nilsema hiv sbb twaweza kutana na kukawa kale kamvuto ka mwili ka kemikal. Kujiandaa tu shostito au nakosea?
 
hapana. Nilsema hiv sbb twaweza kutana na kukawa kale kamvuto ka mwili ka kemikal. Kujiandaa tu shostito au nakosea?
kwani shosti mtu kamvuto kakiwepo lazima umbanjue mtu mdogo wangu? Nikuambie kitu?
 
kwani shosti mtu kamvuto kakiwepo lazima umbanjue mtu mdogo wangu? Nikuambie kitu?

nipo kny zoez la kutaka kushirikiana na hawa viumbe bila kuhsisha moyo wang ulo kufa ganz bada ya kundendwa. Nimesema kamvuto ka kemikal ka mwil shosti we niambie tu ucjal.
 
nipo kny zoez la kutaka kushirikiana na hawa viumbe bila kuhsisha moyo wang ulo kufa ganz bada ya kundendwa. Nimesema kamvuto ka kemikal ka mwil shosti we niambie tu ucjal.
pole sana kwa yaliyotokea mdogo wangu ila uko unapoenda sio.unadhani kwa kufanya hivo mwishoni utakuwa umerudisha furaha yako iliyopotea moyoni mwako shosti?
 
pole sana kwa yaliyotokea mdogo wangu ila uko unapoenda sio.unadhani kwa kufanya hivo mwishoni utakuwa umerudisha furaha yako iliyopotea moyoni mwako shosti?

hata mm sielew ndo maana nataka jarib
 
hata mm sielew ndo maana nataka jarib
basi shosti usifanye hivo mwili wako na maisha yako ni vitu vya thamani sana.kama usipojithamini wewe mwenyewe kwanza hamna mtu atakuthamini huku duniani utaishia tu kuumizwa daily
mimi nilipoachwa nilichukia sana nilikuwa nachukia wanaume hvohvo kama wewe ila nikaamua kutulia zangu na kujithamini,yaani utakuja kupata mara kumi ya ulokuwa nae
mwanamke uwezi kutafuta wanaume bwana tulia tu watakuja kama kumbikumbi na hapo utaamua udake yupi .
Chunga k yako.
 
hiv unajua inavo umaaaaaaaaaa? Unajua ushenz alionfanyia? Ctak penda tena ila mwil wang una mahtaj.
 
hiv unajua inavo umaaaaaaaaaa? Unajua ushenz alionfanyia? Ctak penda tena ila mwil wang una mahtaj.

Mahitaji ya mwili hayaishi lakini...ubaya wa sexmates inafika wakati anahisi anakumiliki,utakuwa huna uhuru na mwili wako na hiyo ndio mbaya zaidi...na haka kamchezo ka kutohusisha moyo ukikaanza tu hutotaka kukaacha..trust me..
 
mahitaji ya mwili hayaishi lakini...ubaya wa sexmates inafika wakati anahisi anakumiliki,utakuwa huna uhuru na mwili wako na hiyo ndio mbaya zaidi...na haka kamchezo ka kutohusisha moyo ukikaanza tu hutotaka kukaacha..trust me..
hv mwanamke waweza kuwa teja wa ngono eeeh?
 
hv mwanamke waweza kuwa teja wa ngono eeeh?

Tena teja mbaya sana..inafika wakati mdada huyo anahisi haiwezakani zipite siku 2 au 3 bila kuguswa. Na wa-design hiyo hawafanyi for money anafanya ili ku-satisfy mwili wake..atakuwa ana degree zake kadhaa za ku-flirt na ku-seduce mpaka anahakikisha anapata kile anachotaka halafu basi..Ile wengine wanaamua kuingia kwenye contract na mtu kwamba kazi yao itakuwa ni ngonoka tu hakuna kingine....
 
tena teja mbaya sana..inafika wakati mdada huyo anahisi haiwezakani zipite siku 2 au 3 bila kuguswa. Na wa-design hiyo hawafanyi for money anafanya ili ku-satisfy mwili wake..atakuwa ana degree zake kadhaa za ku-flirt na ku-seduce mpaka anahakikisha anapata kile anachotaka halafu basi..ile wengine wanaamua kuingia kwenye contract na mtu kwamba kazi yao itakuwa ni ngonoka tu hakuna kingine....
naona huko ndo mpolee anataka kwenda sasa hatari
 
mpoole upo mama weekend ulitoka na nani maana naona uliamua kunitosa
 
Back
Top Bottom