Kinachonikera kuhusu revenge ni pale unapomrusha roho halafu lenyewe hata halirushiki ndio kwanza anakula kuku kwa mrija..ananenepa tu. Pale ndipo unapogundua kuwa unapoteza muda tu,ni bora kusonga mbele..
Ha ha ha ha.....!!Sasa na mdada ndo anatakiwa kuwa hivi, maisha lazima yaendelee tena kwa viwango bora zaidi...umeachwa,kubali,angalia mbali hakuna kitu wanachoondoka nacho,kama alikuona yeye wapo watakaokuona na kuvuiona vizuri zaidi kwako....!!
Kabisaaaa my.
naamini akiingia humu nakusoma haya tuliyomuandikia ataelewa tu..
hv mwanamke waweza kuwa teja wa ngono eeeh?
unaweza kusema vyovyote unavoweza mkuu kupingana na mimi kwamba sikuwa na hatia.ila ndo ukweli.unajua unafiki mkuu?
kweli shosti yeye sio wa kwanza kuachwa,watu tumeachwa,tumeacha ,tumeachana,tumeachanishwa lakini maisha yanaendelea
Mmeshajitangaza vya kutosha,sasa mtuambie kina baba huruma wamesharusha PM ngapi.
kweli shosti yeye sio wa kwanza kuachwa,watu tumeachwa,tumeacha ,tumeachana,tumeachanishwa lakini maisha yanaendelea
mkuu huku hatujitangazi jf ni zaidi ya uijuavyoMmeshajitangaza vya kutosha,sasa mtuambie kina baba huruma wamesharusha PM ngapi.
smile NIMEKUPENDA!! :lol:najua inavouma my swit friend.mahitaji ya mwili yapo ila ni swala la kujipa muda
ni kweli mkuu inatakiwa ukiwa kwenye mahusiano uplay all the best.give all the sacrifices yaani inapofika mwisho unaelewa tu labda halikuwa kusudi la munguUnajua hapa tunaonge kwa ku generalize statement yangu haiko valid kwa situation zote..ina wezekana kuwa kuachwa kwingine ni kwa kuonewa kama unavyodai.Ila mimi nataka kutoa hii kasumba kuwa wanao achwa "always"wanaonewa no and no ..not always iko hivyowako group kubwa tu wanaachwa kwa uzembe na kutotimiza wajibu ,tena wengine ni warembo tu but they dont get it...naongea kwa kuwa I have been in this game na uzoefu wa kutosha tu siongei kwa kusoma makala au kumsikiliza oprah..talking from experince.Tunahitaji ku maintain mapenzi yetu hata kama mna chemistry na mnapendana ..nature ya mapenzi ili msitendane it need updates otherwise new virus will destroy you love na kwa kweli huto elewa ulipokosea na kusema shetani
ni kweli mkuu inatakiwa ukiwa kwenye mahusiano uplay all the best.give all the sacrifices yaani inapofika mwisho unaelewa tu labda halikuwa kusudi la mungu
i love usmile NIMEKUPENDA!! :lol:
usicheke mkuu In life we all fall down at times ila ndo hvo we have :focus:tobe strong and have all our dreams backSmile, umenichekesha sana, yaani hadi machozi yamenitoka
Lakini Mpolee anawakilisha kundi kubwa sana la wanawake wa siku hizi ambao mtakiwa mlifanyie kazi. Kuna binti mmoja Katembea na mwanamuziki wa bongo fleva, katembea na waliyekutana naye kwenye fb, kamuongeza mpenzi wa rafiki yake bila kujua katia ndani mume wa shoga yake. Lakini yote hayo kwa sababu anasema alishawahi kutendwa!!naona huko ndo mpolee anataka kwenda sasa hatari