naona huko ndo mpolee anataka kwenda sasa hatari
Mods piga ban wanaotangaza biashara haramu humu..
kweli shosti yeye sio wa kwanza kuachwa,watu tumeachwa,tumeacha ,tumeachana,tumeachanishwa lakini maisha yanaendeleani njia mbaya ina vihatarishi telee...haimpendezi mtoto wa kike kwa kweli.
mpoleee,kwa hisani yako tunakuomba usijihusishe na hako katabia..tunajua ni mwili wako lakini..in the long run utakuja kujutia uamuzi wako. Ni bora ukae chini utafakari wapi ulikosea labda kwenye uchaguzi wa partner au, ni makosa gani uliyafanya kipindi upo katika mahusiano na huyo jamaa....inaweza ikakusaidia kufanya maamuzi mengine bora zaidi..
biashara gani mkuu? Unaumwa kichomi?mods piga ban wanaotangaza biashara haramu humu..
AHAHAA SHOSTI HII KITU UMETOA WAPI?chang'aaKuna aliezungumzia gongo au chang'aa humu?
kweli shosti yeye sio wa kwanza kuachwa,watu tumeachwa,tumeacha ,tumeachana,tumeachanishwa lakini maisha yanaendelea
AHAHAA SHOSTI HII KITU UMETOA WAPI?chang'aa
hata mm sielew ndo maana nataka jarib
kabisa shosti yaani unapata kitu brand kabisa yaani incomparable tulia mpoleeila kipengele cha kuachwa kinauma shosti wangu hiyo haina ubishi....! Ila ukikubaliana na matokeo ukaamua kufuta yaliyotokea,unajikuta unakutana na mtu mwingine tena mbora kuliko aliyeku-dump...mpaka utajishangaa hivi alikuwmpa wapiiii huyu jamaaani!!!??
hujambo Smile? hapa mnazungumzia kutendwa amabiashara gani mkuu? Unaumwa kichomi?
mimi nilivoachwa kwanza sikuamini maana sikujua kosa langu kiukweli sikumkosea lolote ,so nikatafuta wa kumfanyia revenge dah mwisho wa siku nikajikuta naumia zaidi.kweli nimekuja kuona fahari ya mwanamke kujituliza shosti ndege wanajiletaje tunduni weeeeeeeeeepole mpole, tumetendwa wengi tu ila katika makosa wasichana tunafanya ni kuwa na mahusiano ya hovyo wakati tuna hasira na maumivu...nakushauri tulia tu na kamwe usitake kuwa na mahusiano yasiyokuwa na hisia kutoka pande zote mbili unless unajiuza au huo uhusiano ni wa siku moja, kwanza haikai sawa,ni kama kulala na mtu anayenuka, nafsi na moyo havitaki but unajilazimisha tu...shirikisha moyo wako na akili yako,tulizana hata zilipendwa watajua una thamani na unayaweza maisha bila wao....!!
mimi nilivoachwa kwanza sikuamini maana sikujua kosa langu kiukweli sikumkosea lolote ,so nikatafuta wa kumfanyia revenge dah mwisho wa siku nikajikuta naumia zaidi.kweli nimekuja kuona fahari ya mwanamke kujituliza shosti ndege wanajiletaje tunduni weeeeeeeeee
tunataka kumrudisha kondoo wa bwana anaetaka kupotea zizinihujambo smile? Hapa mnazungumzia kutendwa ama
kwanza ukihesabu umepata faida gani nalo hakuna ndo maana nachukia kupenda.mimi sasas hv sitaki kupenda mtu wananipenda wenyewe raha kwelikinachonikera kuhusu revenge ni pale unapomrusha roho halafu lenyewe hata halirushiki ndio kwanza anakula kuku kwa mrija..ananenepa tu. Pale ndipo unapogundua kuwa unapoteza muda tu,ni bora kusonga mbele..
kwanza ukihesabu umepata faida gani nalo hakuna ndo maana nachukia kupenda.mimi sasas hv sitaki kupenda mtu wananipenda wenyewe raha kweli
mimi nilivoachwa kwanza sikuamini maana sikujua kosa langu kiukweli sikumkosea lolote ,so nikatafuta wa kumfanyia revenge dah mwisho wa siku nikajikuta naumia zaidi.kweli nimekuja kuona fahari ya mwanamke kujituliza shosti ndege wanajiletaje tunduni weeeeeeeeee
kwanza ukihesabu umepata faida gani nalo hakuna ndo maana nachukia kupenda.mimi sasas hv sitaki kupenda mtu wananipenda wenyewe raha kweli
unaweza kusema vyovyote unavoweza mkuu kupingana na mimi kwamba sikuwa na hatia.ila ndo ukweli.unajua unafiki mkuu?makosa mengine si makosa at court of law ..au hata kwa jamii ..ila ki mapenzi ni makosa.ukiona una tendwa ,unaachwa , n.k ujue kuna sehemu unakosea ..unatakiwa utafute na ujue wapi unakosea kutokana na ujuavyo mwezi wako find out what are the missing ingredients ...kuna fanana kuna kukosa kwa kutotimiza wajibu people