Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

Dah, mwaka ushazeeka! Kesho mwaka mpya kesho lakini mbali sana kwani walioko duniani leo siyo wote watakaofika hiyo kesho. MUNGU awalinde wote marafiki zangu.

Ameen Arushaone.. Naomba Mungu akulinde nawe na kukuvusha salama.. Imekuwa heshima kubwa kwangu kuwa mmoja wa marafiki zako hapa.. Happy New Year kamanda..
 
Last edited by a moderator:
Dah, mwaka ushazeeka! Kesho mwaka mpya kesho lakini mbali sana kwani walioko duniani leo siyo wote watakaofika hiyo kesho. MUNGU awalinde wote marafiki zangu.

Amiin, nawe mungu akulinde na akuvushe salama
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…