Hivi ni nini kinatokea mpk mnakuwa hivyo?? Mana sio mara moja unajisemesha na comments zangu?
Halafu sijui kwann hii inatokea sana mtu akianza kunionyesha kunipenda anaanza hizi hekaheka?!! Halafu muda huo yy mwenyewe anakoment pumba km wewe Mbaga, naonaga comments zako tena zingine mpk unatukana.!! Ila ww hupendi kuona hivyo kwangu.!!! Ujue mnanishangaza?!!
Bas kuanzia sasa ntayafanyia kazi, β¦β¦β¦
noted