Hii inafaa kuvizia Kuna angle ikifika uhakika kabisa na ikiamua kukuletea mkate mbona utainjoi swala ni usilewe maana mi nililewa ikanikata mtama..π€£
leo sina kazi so naangalia candel za 30min na 15min then naingia kwemye 5min.. but picha naipata kwenye 4hour kama mzigo unashuka au kupanda.. hiyo AUDCHF nasubiri ifike juu kidogo nitupi lot tembo.. lazima ishuke