JF Chat: All members chat

uduguu huu wa motooo, ndo maana kipipa kimevurugwaaa balaaa, mda wotee kuwehukwaaa, kumbe kalambwaa na wajanjaa wamesengaa njee.

Akhiiiiiii JF nzitooo, naigawa bureeee mwayaaaaa.
watuuu weuweeeee!!!!
 
Kipipa hana jipya kawa chizi dadeq πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
This is JF unapokelewa km ulivyokuja.!!
Mzee wa upako kapita shwaaaahh halafu kapiga mikausho mikali. 😹😹😹

Nasikia ukitaka ugomvi naye basi simulia story za kipipa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
uduguuu unanichekeshaaa ujueee!! Kule kuvurugwa sio kawaida yaan.

Unaijia pupa JF waijua, au waisikiaa? Watu wapo kuwapokea waja km wanavyojiletaaa.

Nawazaa huko kwa Bed, alifirigiswaa vipi, au hakutoa show ya maana? Mzee wa mithalii akaona ajipitiee kuleee.

watu weraaaaa weraaaa.
 
Mzee wa nini kimetokea legendary halafu muhuni kitambo.!!
Vitu km vile kwake ni km kumsukuma mlevi, unaambiwa akacheck km yaliyomo yamo kumbe hamna kitu kipipa nyau mbovu mma nyingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Basi alivyoona hivyo akampa kikono ndio kupiga simu hazipokelewi, msg hazijibiwi mzee wa mafuta na maji kampotezea ss hivi ana pisi kali moja hivi ya moto inabembelezwa huko tsap na kubebishwa balaa.!!

Mzee wa nini kimetokea sio mtu mzuri kafanya machizi waongezeke usingizi haupatikani 24/7 yupo kushangaa km server za JF mana hata mods wana zamu.! 😹😹😹
 
Uduguuu unanifanyaa nawehukwaaa kwa kuchekaaa.
Watu wabayaaaaa jamaniii, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…