JF Chat: All members chat

Nitaangalia aisee , mfano Titanic nimeirudia weh ..
Hiyo inatisha siwezi kuiangalia kabisa .
Hii sijairudia kitambo mi najikuta napenda za kivita Rambo first blood n.k
Kihindi nayoikubali ni koira ya sharukani jina lake rekebisha wewe..πŸ˜‚
 
Hii sijairudia kitambo mi najikuta napenda za kivita Rambo first blood n.k
Kihindi nayoikubali ni koira ya sharukani jina lake rekebisha wewe..
Kuch kuch hotae hii nilipenda sana jamani
sasa hivi siangalii za kihindi kabisa .. Hollywood hii imetubadilisha wengine .
 
Kuch kuch hotae hii nilipenda sana jamani
sasa hivi siangalii za kihindi kabisa .. Hollywood hii imetubadilisha wengine .
Pamoja na umaarufu wa hiyo muvi sijawahi kuiangalia ila nachi yake nilikuwa naijua mwanzo mwisho..πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…