JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

No reform no election haina nia mbaya bali ni kutoa usawa katika uchaguzi, kwanini ccm wameweka taratibu za kutawala milele
 
Kila mtu atakufa , na hii nchi watakuwepo watu wengine kabisa miaka 120 ijayo, sasa tuwaachie taratibu nzuri za kuingoza hii nchi
 
CCM wanataka kurisisha watoto wao hii nchi kwa maana najua watakufa , ila wanataka watoto wao waendelea kutawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…