JF, CDM na UKRISTO

Status
Not open for further replies.
Habari za siku ndugu yangu. Vipi umerudi lini kutoka Pakistan na Afghanistan??

Merry XMass.
 

Badala ya kupambana na maisha yanayokusumbua unaleta pumba zako JF, upambane na nani? Ndio maana kila siku tunawaambia mna vichwa vyeupe hatuwaonei, badala ya kuunda hoja ya maana unaleta ushari wako hapa. Ushindwe na Utalibani wako....
 

Alhadji Hon. Eng. Mtotela! Hivi umekosa wa kumtolea mfano mpaka unamtolea DSM? Wapo waislamu humu wanaojua wanachangia hoja husika bila kuchomeka mambo ya kidini, wanachangia vizuri tu. Tatizo la DSM akichangia kitu mpaka achomeke na mambo ya kidini unnecessary hata kama hoja yenyewe haina harufu ya kidini! Hapo ndipo wana JF wanapo mchangamkia kwa ama kumshangaa uwezo wake wa kufikiri au kumrudisha kwenye hoja husika na pengine kama hasikii wanam-brast kisha analalamika wana mbagua kwa dini yake!
 
Acheni udini(ukristo katika mambo ya msingi). Mauaji ya Rwanda, makanisa yalishiriki sana katika mauaji hayo. Mmeona haitoshi, mnataka kuleta Tanzani. Hata Uganda Joseph Kony anaua kwa kutumia biblia na eti ni mtetezi wa amri kumi za mungu. Na ya Kibwetere je? Mmeyasahau??
 
kAUMZA AMEDECLARE SAWA NA MWINGINE ALIYENZISHA THREAD KAMA HII AMBAZO ZINAFANANA

HAYA BANA... UENI TU JF
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…