JF Beyond Keyboards in DSM what's uuuup? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Beyond Keyboards in DSM what's uuuup?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by NGULI, Jul 27, 2011.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Title yahusika saana.

  Nakumbuka utamaduni wa kukutana wana JF uliasisiwa DSM na jembe Geof au Teamo, week end ilikuwa ikifika MMU karibu wote walikuwa wanakutana na kutafuna mbavu za vitoweo tofauti!tofauti pamoja na ze valuer. Valuer ilipanda chat sana hapa jamvini ikisindikizwa na msamiati wa infidelity. Enzi hizo baana thread ilikuwa ikiangukiwa na hio team within 5 minutes iko page ya 10.

  Nini kimetokea siku hizi au mwakutana under carpet wengine hatujui? Hongereni Arusha na Dodoma kwa ku keep it real....

  By the way wapi Teamo tangu umehama nchi kutokana na matatizo ya umeme JF dsm is not the same again.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Bora uje huku HQ........mambo si kama zamani........kuna mapya mengi.......tueleze ni lini unakuja rasmi
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Matatizo ya umeme na ukata wa mifukoni! Wengi wamekimbilia Sudan ya kusini kuwekeza.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wanahitaji semina ELEKEZI toka JF-HQ-Arusha!
  Shida ni kwamba kipindi hicho walikurupuka, na matokeo yake ndo hayo!
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mlikuwa mnakutana kujadili kitu gani? mbona hatujaona output ya meeting zenu
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hahahahaha nahisi wenyewe watakuwa wanakusikia najua mikoba kaachiwa Aspirin, na Maxence
   
 7. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Thanks Preta, comming home soon!! Less than a month. Home swt home. Ila kwa sasa baridi banaaaa nasikia ni -10
   
 8. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Labda mbadilishe agenda za vikao pamoja na venue,

  Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna watu wamechoka kukamua valuer na vipapatio, wanahitaji kilaji kipya na kiwanja kipya.

  Karibuni kwa jimmy kilauri Lumo kiwanja ncha ukweli.
   
 9. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Raha ya arachuga si kuhamia huko,

  Unakuja kwa wiki mbili tatu halafu unasepa kurudi home ndo inapendeza

  Baridi mmeizoea wenyewe!!
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,286
  Trophy Points: 280
  Kweli umenena la maana sana.
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa!
  Tumekwenda beyond keyboard long time mzazi ndo maana huoni mialiko kivile. Tupo stage nyingine.

  Wana Arachuga, ni ruksa kupata update za vichwa vya dar and all that has happened tangu tulivyokuja kuwatembelea vijana wa Arachuga december last yr.

  Ni kweli tumekuwa chini ya zulia kiaina, lakini ni kwa sababu maalumu.

  Kwa update zaidi, pm mimi, teamo, gy, au mwanajamiione.

  Onyo: Msimtafute Asprin, atakuwa amelewa hataweza kuwajibu, onyo hili litadumu kwa mwezi mmoja tu.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Wengine wakikumbuka zamani wanapigwa madongo na baadhi ya watu wachache lakini hao watu wachache wakikumbuka zamani yao ni kama it's okay. I'm jut sayin'....
   
 13. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Me understand DON'T!! Fafanua umetumia lugha gongana
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kila mtu anajipendelea...!
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280

  nidai kitochi........
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Jul 27, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaa beyond keyboard na kusengenyana behind each other's backs. Ptuuuuuuuuuuuu
   
 17. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahaha PJ bana mmekua mmeanza kiburi eh,,,, tatizo watu wa Arusha mkija dar mnakuja kimyakimya kama mnadaiwa vile; sie bado tupo pale pale jj pa ukwe'ee
   
 18. d

  dropingcoco Senior Member

  #18
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukisikia unafiki ndio huu, utavishwa kanga wewe
   
 19. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  What's up toddler, how you doing?
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  You need to hit the door, search for a new guy
   
Loading...