Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,540
ukisikia unafiki ndio huu, utavishwa kanga wewe
Iba ya mamako uje univishe
ukisikia unafiki ndio huu, utavishwa kanga wewe
What's up kid toddler, how you doing?
Aw yeah, I get around.I don't know why, the chick keeps paging meHahaaaa wewe umeshindikana wewe. Niko na MG hapa.....
And YOU need something to do....You need to hit the door, search for a new guy
Relax beibeAnd YOU need something to do....
Bora uje huku HQ........mambo si kama zamani........kuna mapya mengi.......tueleze ni lini unakuja rasmi
Hahahaaa!
Tumekwenda beyond keyboard long time mzazi ndo maana huoni mialiko kivile. Tupo stage nyingine.
Wana Arachuga, ni ruksa kupata update za vichwa vya dar and all that has happened tangu tulivyokuja kuwatembelea vijana wa Arachuga december last yr.
Ni kweli tumekuwa chini ya zulia kiaina, lakini ni kwa sababu maalumu.
Kwa update zaidi, pm mimi, teamo, gy, au mwanajamiione.
Onyo: Msimtafute Asprin, atakuwa amelewa hataweza kuwajibu, onyo hili litadumu kwa mwezi mmoja tu.
Mh... let me thinkHahahaaaa beyond keyboard na kusengenyana behind each other's backs. Ptuuuuuuuuuuuu
Mh... let me think
Aisee..........:A S-eek: