Wakuu nawakaribisheni wote katika mradi wangu mkubwa wa bar & restaurant ujulikanao kwa jina la JF Bar & Restaurant. hapa Kinondoni.
Karibuni mje mkate kiu kwa kupata mvinyo,pombe,juice,baga na piza,cocktails, nyama choma, kwa bei nafuu kabisa, na kuna punguzo maalum kwa wanaJF wote.
Karibuni mniungishe jamani.