JF attractive Avatar the year 2011!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF attractive Avatar the year 2011!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kigarama, Apr 17, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kila mtu ana vionjo vyake kwenye maisha. Kwangu mimi hizi ndizo Avatar zilizonivutia kwa mwaka 2011. Salute kwao!!

  View attachment Avatar!!.docx
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,797
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Ya kwangu imetajwa? Manake ndo the best avatar ever..!
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,643
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 280
  mi nakubali hiyo ya dogo,yaani amekaa kijanja
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,584
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Aaah jamani?
  Kwani kuna ubishi kuhusu avatar yangu kuwa bora humu?
   
 5. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 926
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 80
  hivi kwa nini wasichana wengi hawapendi kuweka picha zao halisi??au hawajiamini??
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,797
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  hiyo ndo ya kwako halisi?
  Hebu nijibu kwa PM huku ukiambatanisha namba yako ya simu.
   
 7. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 926
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 80
  ya kwangu ndio..namba ya simu sina labda nikupe namba ya mume wangu.
   
 8. doup

  doup JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,123
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  huyo ni wewe?!
   
 9. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,025
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  heee!..ni mumeo ana sifa kama zako? acha kumdhalilisha bana. kumbuka huyo jamaa unayetaka kumpa namba ni mwenyeji wa mombasa. naomba ufikilie mara mbili kabla hujampa hiyo namba, bora umpe namba yako.
   
 10. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,857
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hahaaaah ya kwangu haijatajwa huo ni uonevu
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  yangu ofukozi.
   
 12. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,618
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Inawezekana pengine hawajiamini lakini hiyo sio sababu ya msingi. Kila mtu ana sababu zake kwa nini hataki kuweka picha yake. Wengine hawaweki kwa sababu wanaogopa kusumbuliwa na wanaume kama TANMO.
   
 13. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,797
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160

  TANMO (Tanzania Ni Moja) sasa kujaribu kujiunganisha na dada zangu ili tuwe kitu kimoja ndiyo unaita usumbufu arifu?
   
 14. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,636
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha...:doh:unajua leo ndo nimeichunguza avatar yako kwa makini...hivi huyo baba anafanya nini kwenye mewata ya huyo mama? au macho yangu...ngoja nivae miwani banaa:coffee:
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,393
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  mmmh !
   
 16. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ....ipime na hii mtoa mada....
   
 17. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ....ipime na hii mtoa mada....
   
Loading...