JF Arusha Wing tunakwenda Korogwe Kumpa Mkono wa Pole KOKUTONA. Please Join us.

Jamani...........kunani tena hapaaaaaa............!!! huu ujumbe mie mpaka naogopa kuupeleka........maana........!!!
eti Sungura Toto kwema baba???

maskini..........halafu hata kumention naona bado hajajua! Sungura Toto taratibu baba!

CC Tonykp PakaJimmy Erickb52 mmemfanya nini huyu mtoto!?



asante LiverpoolFC kwa kunisaidia kuwaita wahusika, nilikuwa busy na mr sosoliso

Unafikiri anaweza kata roho namjua yy ni Mpini haogopi maisha kazi kwenu mnaodandia wake za watu lkn tutamuoa mmoja ck ikifika na tutamuweka hapa live
 
Last edited by a moderator:
Unafikiri anaweza kata roho namjua yy ni Mpini haogopi maisha kazi kwenu mnaodandia wake za watu lkn tutamuoa mmoja ck ikifika na tutamuweka hapa live
Sungura Toto hebu punguza munkari! sasa namie nadandia wake za watu??!?!?
mhhhh hiyo siku itafika lini?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe huko ilikuwa kasheshe!!!!!
PJ na Arushaone mbona hamjatupatia "mlisho nyuma?"
Langu moja!
NI KUMPA POLE SANA KOKUTONA
Pole sana!
 

hahaaaa!nimepekenyua
mpaka nimeona yaliyojiri
Sungura Toto kulikoni?
kama mke kaondoka si umtafute?
unaweza kuta ulimfanyia madudu yakamchosha
na ukute alipo hana hata mwanaume kaamua kuishi maisha
yake,wanaume tunawajua atiiiiiii!!!mwanamke hawezi ondoka bila
sababu so kaka kuliko upigizane kelele fanya juhudi za kumrudisha mkeo
hicho ndio kikubwa na si kumentin watu wamekuibia,sijui makuwadi
hizo hua ni fikra!!pole sana lakini
cc Arushaone, paka jimy, Erickb52, Tonykp!!watuhumiwa hahaaaaaaaa
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!tchaooooo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom