JF Arusha Wing tunakwenda Korogwe Kumpa Mkono wa Pole KOKUTONA. Please Join us.

Paloma nisaidie kufikisha huu ujumbe kwa tonypk kuwa yy ni kidume lkn kuna mabeberu nyuma yake coz naona wengine ni waoga na ajue wake zake wawili aliowaacha ni udhaifu alionao tutawatumia pic zake akiwa amekalia bullet negroz wa twn asiwaze sana tupo nae sambamba! kama mbaya acha iwe mbaya lkn itakuwa fundisho kwa akina Pj na wenzake Erickb52 anajijua sana kwa aliyatenda!!"

Jamani...........kunani tena hapaaaaaa............!!! huu ujumbe mie mpaka naogopa kuupeleka........maana........!!!
eti Sungura Toto kwema baba???

maskini..........halafu hata kumention naona bado hajajua! Sungura Toto taratibu baba!

CC Tonykp PakaJimmy Erickb52 mmemfanya nini huyu mtoto!?

Lol
PakaJimmy
Erickb52
Tonykp

Sungura Toto huyo hapo anatoa mapofu utafikiria anakaribia kukata roho!

asante LiverpoolFC kwa kunisaidia kuwaita wahusika, nilikuwa busy na mr sosoliso
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom