Mkuu, nashukuru sana kwamba umeona hii maneno...Ni kwamba ishu hii inafanyika tarehe 27/12/ 2010..ndiyo siku ya safari, kuanzia alfajiri saa 12.00 asubuhi...
Kwahiyo mkuu hujachelewa hata kidogo, na karibu Sana...Kwa details zaidi ingia PM yako, kuna namna ya mawasiliano.
Tunakutegemea mkuu Shycase.
NASIKITIKA KUWA KWA BINAFSI YAKO ULIAMUA KUCHAGUA KUTOPOKEA PM YOYOTE TOKA KWA MWANAJF YEYOTE, NA HIVYO HATUNA JINSI YA KUKUPA UTARATIBU WA MAWASILIANO.
AKSANTE MKUU.
Mkuu,oh bro, sikujua kama nimezuia pm zote.
Ngoja nichek settings.
Leo trh 13/12 nipo hapa minjingu,hali ya hewa ni nzuri na inonekana kama ilinyesha 1 or 2 weeks ago.
Panapendeza na zaidi kwa watu wa Dar wata enjoy. Nipe update za kikao kesho
Mkuu,..ni noma...pole sana mkuu wangu, ungekuwepo ingebidi ziara iongezeke muda, maana ni lazima ungewapeleka pale CET gardern wapate yale marosti-rosti unayolambaga mkuu!PJ... I wish ningeweza kuja AR mkuu lakini naona mkoloni anakaba hadi penati
dah
Mkuu,
Nakuheshimu sana broda..
Mipango inakwenda vizuri sana..KEsho kama tulivyoahidi, ni kikao cha mipango, ni saa 11 jioni..tungependa sana tuwe pamoja bosi wangu, lakini bahati mbaya ndo umeblock PM.
In case ukirekebisha, basi niPM nikupe mazagazaga.
Heshima mingi mkuu
PJ.
Huyu aliniPM akitaka nafasi, lakini nilimfanyia ile kitu kiutaalamu tunaita "counter au "outright rejection":bump:hivi pj na malaria sugu atakuwepo?
Huyu aliniPM akitaka nafasi, lakini nilimfanyia ile kitu kiutaalamu tunaita "counter au "outright rejection":bump:
Nilimpa sababu za kiufundi rahisi tu kuwa booking zimeshajaa!...
lAKINI AKIWA pm NI MSTAARABU SANA...Nadhani kule hadharani anakuwa kikazi zaidi.
Mkuu, karibu sana...itakuwa ni njema zaidi tukiwa pamoja...Nia yetu ni urafiki na kufahamiana zaidi na si tofauti ya hapo..naamini utafurajia...mipango inakwenda safi sana...27th nipo ndani ya Sakina! ngoja niangalie ratiba yangu! 87% more likely that i will be in the house! thanks!!
Mkuu, karibu sana...itakuwa ni njema zaidi tukiwa pamoja...Nia yetu ni urafiki na kufahamiana zaidi na si tofauti ya hapo..naamini utafurajia...mipango inakwenda safi sana...
Utakuwa umefanya kosa la jinai usiporipoti kwetu katika hiyo safari...na tutakuwa na haki zote kukupenalize!...natamani sana jamani lakini ndo hivyo ntakuwa na mabox kadhaa ya kubeba hapa kwa mwajiri,lkn kuanzia tar hizo za 20-24 ntakuwa naelekea nairobi ntapita japo kukusabahi ww nae kufaham na wengine ili tudumishe undugu na urafiki zaidi.
Utakuwa umefanya kosa la jinai usiporipoti kwetu katika hiyo safari...na tutakuwa na haki zote kukupenalize!...
Karibu sana Pearl A-Town, tunakuandalia nusu kuku wa kienyeji!
Heema. Marko, heema, marko gwandu! heema! marko gwandu akuunay! heematih tih....ako Gwandu diridiri