Niambie!
Nani kakukasirisha?
Derimto au Sahara?...Najua atakuwa Sahara, si kakupigia simu 15min. ago?
JF Ar <> Facebook!

tathmini ya harakaharaka arusha inaongoza kuwa na wajanja washamba wengi kwahiyo usishangae mkuu ni kawaida yao!
tathmini ya harakaharaka arusha inaongoza kuwa na wajanja washamba wengi kwahiyo usishangae mkuu ni kawaida yao!

hizi takwimu umezitoa wapi mkuu?acha wivu!

tathmini ya harakaharaka arusha inaongoza kuwa na wajanja washamba wengi kwahiyo usishangae mkuu ni kawaida yao!
Nna wasi wasi uliuza sura haijauzika!.. Pole sana!tathmini ya harakaharaka arusha inaongoza kuwa na wajanja washamba wengi kwahiyo usishangae mkuu ni kawaida yao!
hii ndio arusha unayoijua meeen!babylon,tripple A,boogaloo na nilihitimisha Ubungo Bus Terminal Dar es salaam!ni muda kidogo ila ntairudia kama kuna mkoa mwingine unafanya vizuri katika hili kuliko Arusha

Hhahahaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Wadau kimya?

So faaa nime mapata Mdau wa MZEE RULA,

Wengine wapi? Weekend leo hamna mtoko?
Nna wasi wasi uliuza sura haijauzika!.. Pole sana!
Ushamba kuna kipindi kunafuatana na kutokujua au kufanya mambo kwa makusudi huku ukielewa ni kosa ulifanyalo! Kwa taarifa Arusha hakuna washamba kihivyo vinginevyo walikupa kitu inauma ndiyo maana unaona hawafai chali yangu aiseeee!tathmini ya harakaharaka arusha inaongoza kuwa na wajanja washamba wengi kwahiyo usishangae mkuu ni kawaida yao!

Dogo,

Tumia busara kidogo!

All you can think about is mitungi?

Kuwa na busara kidogo!...Umerudi lini toka msibani?

Karibu tena A town!
labda kama aliyenitosa ana allergy na vitu vizuri!
nyingi bab sema hizo ndo nilizichagua kufanya takwimu yangu!sema siyo kesi senator tupo pamoja!ila kiukweli kibanga mkoloni inaelekea bado sana!full kiza yaani ana zilezile za kilong tym!namjengea picha hapo atakuwa amevaa sweater moja rangi mbaya la krokoni au mchina typehii ndio arusha unayoijua meeen!
Mwambie arusha hatuuzi sura wala hatununui pia!Ushamba kuna kipindi kunafuatana na kutokujua au kufanya mambo kwa makusudi huku ukielewa ni kosa ulifanyalo! Kwa taarifa Arusha hakuna washamba kihivyo vinginevyo walikupa kitu inauma ndiyo maana unaona hawafai chali yangu aiseeee!
the sampling was dead wrong!nyingi bab sema hizo ndo nilizichagua kufanya takwimu yangu!sema siyo kesi senator tupo pamoja!ila kiukweli kibanga mkoloni inaelekea bado sana!full kiza yaani ana zilezile za kilong tym!namjengea picha hapo atakuwa amevaa sweater moja rangi mbaya la krokoni au mchina type