JF-App KUSHINDWA KUFUNGUKA

JituParaTupu

Member
Nov 20, 2008
92
9
Habari jamvini? Natumia simu aina ya Samsung Galaxy Grand. Kuanzia juzi JF App haifunguki kabisa. Nimejaribu mara kadhaa kui-uninstall na kui-install tena lakini imeshindikana. Naomba maelekezo ili app hii ya JF ifanye kazi kama awali.
Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom