JF Android and iOS app - Feb 2018 update

Mkuu Melo,
Vipi sisi wadau wa windows phone maana najaribu tafuta app ya JF bila mafanikio.
 
Notification zimepotea, tunashindwa kufuatilia mjadala hasa majibizano
 
Punguzeni kujifanya wanasheria. Eti mna-burn mtu kama ni hivyo msijitambulishe tena kuwa ni jukwaa huru mliite la ccm
 
Kuhusu notification vipi mfano mimi tangu tar14 sipati notification inanisumbua sana
 
Mbona naona kama sasa hivi mtu unapata notification.

LIKE yangu hujaipata kwenye hii post?
Ndo naiona muda huu baada ya kupitia thread nzima kuona kama suluhisho, sio kama zamani, nikifungua notification sioni zile alama nyekundu kuonyesha quotes, post mpya kwenye uzi, likes, mentions etc, ebu cheki hapa chini ninachokiona hakibadiliki kwa wiki kadhaa sasa!
 
Maxence Melo
Kuna jambo kwenye hii App mpya sio zuri na linapelekea mtu kujua ID ya mwenzio bila kutarajia au akijua huu mtindo ataweza kuvizia mtu mwenye hii App na kuchunguza ili aijue ID ya muhusika.

Uki log out, User name inabaki bado ipo ambapo ukija kufungua tena App ili ulog in utakuta tayari user name/ID ipo kwenye(remembered) kama inavyoonekana hapa

Pia ukija kwenye sehemu huku ndani endapo hujaifuata ile ya mwanzo hapo juu, ukibonyeza sehemu ya log in kama inavyoonekana hapa

Itatokea username/ID yako kama inavyoonekana hapa

Kwa mfumo huu wa kubakisha ID kama remembered ni hatari kwa watu kudukua/kujua ID ya mtu bila muhusika kujua endapo akifanya haya bila muhusika kujua.

Kumbuka huwa tuna log out ili kutunza privacy zetu vizuri kama kuepuka mtu kujua ID zetu. Sasa kwa kitendo hiki ni hatari sana mtu kujua ID za watu endapo akiona kuna App kwenye simu ya muhusika.

Kam mimi ambaye nimeligundua hili jambo nikitaka kujua ID za watu/marafiki niliokaribu nao nitaweza kwani sio jambo gumu sana.

Naomba mbadilishe na kuhakikisha ID haitaonekana tena pindi tunapo log out halafu tukitaka kulog in ikaonekana tena kama ilivyokuwa kwenye App ya zamani.

Kitendo hichi cha kuonekana ID kama remembered kipo pia kwenye Web ukiwa unatumia PC, kule huwa naifuta baada ya kulog out nikijaribu kubonyeza ili nilog in kikionekana nakifuta laini kwenye hii App mpya nimejaribu kufuta kimekataa kufutika.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…