Mimi nasemea wiki mbili zilizopita walitangaza kwamba wametoa updates na sikuona jipya kwenye playstore thats why!! siongelei tangazo la leo mkuu!ushaambiwa imeeondolewa kwa muda...
Yote haya hayahusiani na App, ni mfumo wa JF.
1) Option ya mtu kufuta thread: Ugumu wake ni kuwa kuna watu hucheza na akili za wenzao, mtu amepoteza muda kushiriki kwenye mjadala wako kwa kuleta hoja zilizoshiba then mtu kwakuwa anaona mawazo yamekinzana na matarajio yake anataka afute mjadala kabisa!
2) Ku-edit thread title: Ndo maana tumeweka moderators; tukiacha mtu aweze badili atakavyo title si ajabu ukakuta mjadala wa jana una title tofauti leo na hata kesho title tofauti zaidi.
3) Kuweza kubadili majina: Tuliwahi jaribu hili, matokeo yake watu walianza mizaha ya ajabu. Mtu akiona member anajiita AKIDA anapendwa, yeye ana-edit jina lake anaandika AKIDA2 au AKIDDA. Ili kuhakikisha tunakuhudumia vema, moderators wapo tayari kukusikiliza haraka na kukusaidia kubadili jina lako pindi ukitaka kufanya hivyo.
Asante
Naunga mkono hoja hii Maxence MeloMe naomba muweke na kitufe cha DISLIKE
Sio kila Comments inastahili Like,
Mkuu hilo jukwaa unaweza kusoma mada za humo ila huwezi kuchangia mjadala kama hauna access nalo.Maxence Melo kuna baadhi ya maswali watu wangeweza jua mfumo wa kwanini JF ipo kama ilivyo sababu umeyajibu kwenye Uzi wa mahojiano yako!..Lakini tatizo ni kwamba huo Uzi upo "Jukwaa la Great Thinker" sizani wote wana access nalo so fanyeni wekeni copy yake "Jukwaa la Malalamiko" ili mtu anayeanza leo aweze pitia jukwaa la malalamiko aone!..
Ps: Naona wick amehappen kuwa screenshot comment yake hapo mjadala wa psychic powers!, siku mojamoja ingia tujadiliane bana!!
hahaha nimecheka sana hapo kwenye member kujiita jina la mtu mwingine daaah.hongereni sana jfYote haya hayahusiani na App, ni mfumo wa JF.
1) Option ya mtu kufuta thread: Ugumu wake ni kuwa kuna watu hucheza na akili za wenzao, mtu amepoteza muda kushiriki kwenye mjadala wako kwa kuleta hoja zilizoshiba then mtu kwakuwa anaona mawazo yamekinzana na matarajio yake anataka afute mjadala kabisa!
2) Ku-edit thread title: Ndo maana tumeweka moderators; tukiacha mtu aweze badili atakavyo title si ajabu ukakuta mjadala wa jana una title tofauti leo na hata kesho title tofauti zaidi.
3) Kuweza kubadili majina: Tuliwahi jaribu hili, matokeo yake watu walianza mizaha ya ajabu. Mtu akiona member anajiita AKIDA anapendwa, yeye ana-edit jina lake anaandika AKIDA2 au AKIDDA. Ili kuhakikisha tunakuhudumia vema, moderators wapo tayari kukusikiliza haraka na kukusaidia kubadili jina lako pindi ukitaka kufanya hivyo.
Asante
Wakuu,
Kwa watumiaji wa Android mtakuwa mmeona app yetu tumeiondoa kwenye soko kwa muda.
Inarejea muda si mrefu na tutaomba maoni yenu ili kuboresha.
Kwa watumiaji wa Android, itakuwa na mwonekano huu:
Kupata recent posts from all forums, itatokea hivi:
Button iliyo mbele ni ya PMs zako na mwishoni ni notifications zako.
Aidha, ukichagua jukwaa (mfano la Siasa), itatokea hivi:
Ukibonyeza button ya kuanzisha thread/topic, options za ku-upload picha/doc zitakuwa kama inavyoonekana chini:
Kwa wale wa iOS:
Kwa mbele kabisa katika orodha ya forums itaonekana hivi:
Kupata recent posts/discussions, itaonekana hivi:
Ukibonyeza pembeni kwenye user menu, itaonekana kama hivi:
Mengine hayana tofauti sana na Android.
Mabadiliko haya yatawekwa hewani muda si mrefu na pale ukikwama usisite kuwasiliana nasi
Hii haswa, hata mimi naomba kitufe cha "dislike" kiweko, pia kwa nyongeza nashauri likes ziongezwe kutoka tano mpaka idadi yoyote, hii itasaidia kupunguza quote zisizo za lazima,maana wakati mwengine mtu anataka ku like mchango wa mtu lakini anakuta likes zishajaa inabidi auquote uzi ili asapoti maneno ya mchangiaji au mleta uzi.Me naomba muweke na kitufe cha DISLIKE
Sio kila Comments inastahili Like,
Me naomba muweke na kitufe cha DISLIKE
Sio kila Comments inastahili Like,