- Feb 10, 2006
- 4,538
- 16,786
Yote haya hayahusiani na App, ni mfumo wa JF.ipo vizur but kuna vitu muhimu mngeviongeza mfano ku-delete uzi ku-edits jina la uzi mtu akikosea, pia mtuekee Option ya kubadili ID
Hope kila mwana JF angependa kuona izo option.....
All the best ......
oky umenijibu vyema.....Yote haya hayahusiani na App, ni mfumo wa JF.
1) Option ya mtu kufuta thread: Ugumu wake ni kuwa kuna watu hucheza na akili za wenzao, mtu amepoteza muda kushiriki kwenye mjadala wako kwa kuleta hoja zilizoshiba then mtu kwakuwa anaona mawazo yamekinzana na matarajio yake anataka afute mjadala kabisa!
2) Ku-edit thread title: Ndo maana tumeweka moderators; tukiacha mtu aweze badili atakavyo title si ajabu ukakuta mjadala wa jana una title tofauti leo na hata kesho title tofauti zaidi.
3) Kuweza kubadili majina: Tuliwahi jaribu hili, matokeo yake watu walianza mizaha ya ajabu. Mtu akiona member anajiita AKIDA anapendwa, yeye ana-edit jina lake anaandika AKIDA2 au AKIDDA. Ili kuhakikisha tunakuhudumia vema, moderators wapo tayari kukusikiliza haraka na kukusaidia kubadili jina lako pindi ukitaka kufanya hivyo.
Asante
Mkuu Melo naomba muweke kitu cha kuruhusu kubadili username kama mitandao mingine ya kijamii.
Hilo ni la muhimu zaidi itapendeza sana hicho kitufe kikiwepo.Me naomba muweke na kitufe cha DISLIKE
Sio kila Comments inastahili Like,
ushaambiwa imeeondolewa kwa muda...Iko playstore/google play kweli? last time nilicheki nikaona haipo!! nikajua ni janja janja za watanzania kama kawaida!!
Kweli kabisa...zikiongezwa emoji zenye mvuto zaidi itakuwa vizuriSijaona Emoji zilizopo, nataka zinazochekesha