mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
itakua yuko adviceDuh, nadhani litakuwa Jukwaa la Nafasi za Kazi na Tenda au Complaints, Congrats, Advice
itakua yuko advice
Ndio maana siwachekagi mateja walevi na mabazazi
me addicted sana
ni mkao gani mzuri wa kutagaHahahahaaaaaa, anatafuta ushauri kuhusu nini?...
Addicted wa nini?...
ni mkao gani mzuri wa kutaga
Acha tu asiweke wazi maana kuna addiction nyingine ngumu kusema hadharani