JF Addicted

JF Addicted

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,730
jf.jpg

jf2.jpg
 
Aisee huyo jamaa wa msalani sijui laptop ikikwapuliwa ataanzaje kumfukuza mwizi wake....
 
Afadhali mgonjwa, ila huyu wa chooni amezidi sasa
 
Hahahahahhahaaaaa huyo alieko Chooni namfahamu, ni member mmoja tunaye sana tu hapa jukwaani
 
huyu wa manzo anachat kwenye JF doctor ila huyu wa pili itabidi utusaidie wewe mtoa mada sijui yuko kwenye jukwaa gani
 
huyo wa toilet ni Munkari ndo zake hizo hahahahah
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom