englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
Huyu akipigwa BAN anaugua malaria
mkuu utafiti nisaidie mambo ya technologia mm mshambamshamba hiyo BAN ni kitu gani? kuna mahala nimeona tena hili neno humu..
BAN ni kupigwa marufuku au kuzuiwa kufanya kitu flani, kwamfano hapa jf kuna sheria na kanuni zake, mfano member ametoa lugha za matusi au maneno machafu kwa member mwengine, mods humpiga BAN huyo muhusika (sijui inakua miezi au mda gani) akimaliza adhabu ndio anaruhusiwa tena kuingia jf