Jeuri yote kwisha!

Jeuri yote kwisha!

Puffader

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
44
Reaction score
9
Kuna namba kati ya 1 hadi tisa ambayo ina maajabu.Nitajie alaf nipe sababu ikifanyaje au ikifanywaje inakuaje au vyovyote unaweza!
 
ni namba sita,inaweza kuwa 6 au 9 au herufi g,
 
namba 8 inachanganya,hata binti akiwa nayo ni sooo
 
Vp kuhusu namba 9
1.Inaweza kuwa 6 au 9 au g
2.Kubwa zaidi ni kwamba 9 ikizidishwa na namba kuanzia 1 hadi milioni kibao jibu lake ukijumlisha hizo namba utapata 9
mfano 9*1=9
9*2=18
9*3=27
9*4=36
9*5=45
9*123456789=1111111101
9*12345678=111111102
9 mara namba yyte ilimradi tu isirudie digit jibu lazima liwe 9.Tisa ni noumer!
 
Tatizo lenu mnaumiza vichwa sana nimekuja Ticha wenu wa JF.
Namba yenyewe ni Moja (1)
Mfano:
1. 1 inaweza kugeuzwa ikwa moja kama ilivyo
2. 1 ikikaa horizontal inakuwa dash. yaani -
3. 1 ikikaa horizontal chini inakuwa _
4. 1 zikiwa nyingi zanatengeneza mstali wa dashi dashi yaani ----------- n.k
5. 1 zikiunganishwa zinatengeneza mstali mnyoofu yaani _______________
6. 1 ikilala at 60 gegree inakuwa slashi yaani /
7. 1 ikilala at 120 Degree inakuwa shazali yaani \
8. 1 zikiunganishwa vizuri zinatengeneza > au <
9. 1 ukizi-cross zinatengeneza x
10. 1 ukiziunganisha vizuri unapata K,Y,T,V,Z,N,M,W,L,H,F, bila wasiwasi.
Je Paffader niendeleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee au?
 
mmmmmh
 
vp moja ikiwa na mkia au ikiandikwa tofauti na hiyo yako? Nine 9 ni nouma
 
Back
Top Bottom