sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Huwa nashangaa sana napoona watu wanasema kwamba jeshini waliojaa ni wakurya, hii siofact ni maneno ya vijiweni tu,
Watu wengi wanakoseaga kudhani kwamba wazanaki ni kabila moja na wakurya sababu wote wana mfanano wa lugha, hili ni kosa! hapa nchini tunaongea wote kiswahili lakini ni makabila tofauti, hata kwenye uongozi wa kikabila wazaramo walikuwa na machifu wao na wakurya walikuwa na machifu wao.
Wengi hudhani wazanaki na wakurya ni kabila moja kwasababu lugha pengine zinafanana, ni sawa na mtanzania na mkenya wanaongea kiswahili ila ni watu wa nchi tofauti, Pia wazaramo kwa asili walikuwa wanaongozwa na machifu wao, wakurya nao walikuwa na machifu wao, kulikuwa hakuna muingiliano.
Kiukweli waliojaa ni wazanaki na hata polisi wa sasa Wambura ni mzanaki nae Sirro aliepita ni mzanaki.
kwa zamani kidogo wakurya ndio walikuwa wamejaa ila ni kipindi cha vita ya Kagera tu, ilipoisha wengi walirudi vijijini ama kuendelea na shughuli zingine,
kwa sasa hata vyeo vingi vya juu ukikuta mtu ni wa mara basi ni mzanaki, ni ngumu sana kukuta wakurya