Jeshi

Jeshi

KARIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
717
Reaction score
473
Wana jamvi wenzangu niko pembeni ya ligi ya wanajeshi wa majeshi yetu mawili tofauti (JW na POLICE) Police anajisifia kuwa yeye ni bora na ana kazi mno kuliko mjeda! Mjeda kamjibu kuna nchi yeyote ambayo imepinduliwa na Police? Wanajamvi wenzangu nisaidieni maana sina jibu mu kicha! Nani zaidi kati yao?
 
Ngoja tuje tukuoneshe nani zaidi...
Then uje utoe majibu wewe mweyewe hapa.
 
polisi mpoke kirungu utaona anavyoweweseka
 
Back
Top Bottom