Jeshi wee muacheni apumue ajiuzulu, kwani nani alimchagua!

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,124
Reaction score
1,983
Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali.

Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa itajulikana ni jeshi lipi yeye asiogope. Huyo hata akijiuzulu haisaidiii walahi.

Rafiki yangu wa Siku nyingi nilikuambia mapema. Huyo Mzazi mwenzio ni mroho wa madalaka. Wee wajiingiza kichwa. Wooi. Na bado
 
Kaacha kujiuzuru wakati nyumbu mnafanya uhalifu ndo ajiuzuru leo wakati nyumbu mmeshashikishwa adabu?

Na bado
 
Ni kweli simpendi MANYONYO ila na ww jifunze kuandika vizuri
Huyu anajua kuandika vizuri.
Hapa anawapoteza watu wasimtambue.
Kila mtu ana Aina yake ya uandishi Kama signature vile. Walio karibu nawe wanakufahamu wakiona maandishi yako tu.
Hapa anawapoteza maboya. Huenda huyu siyo mzanzibar kama alivyoji nasibisha toka mwanzo.
 
Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali. Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa itajulikana ni jeshi lipi yeye asiogope. Huyo hata akijiuzulu haisaidiii walahi.
Rafiki yangu wa Siku nyingi nilikuambia mapema. Huyo Mzazi mwenzio ni mroho wa madalaka. Wee wajiingiza kichwa. Wooi. Na bado

View: https://www.facebook.com/share/v/1DRiiuF1q1/
 
Huyu anajua kuandika vizuri.
Hapa anawapoteza watu wasimrambue.
Kila mtu ana Aina yake ya uandishi Kama signature vile. Walio karibu nawe wanakufahamu wakiona maandishi yako tu.
Hapa anawapoteza maboya. Huenda huyu siyo mzanzibar kama alivyoji nasibisha toka mwanzo.
Amekariri kwamba hajui kuandika. Unaweza kushangaa ni mtu mwenye heshima zake waandamizi kabisa
 
Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali. Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa itajulikana ni jeshi lipi yeye asiogope. Huyo hata akijiuzulu haisaidiii walahi.
Rafiki yangu wa Siku nyingi nilikuambia mapema. Huyo Mzazi mwenzio ni mroho wa madalaka. Wee wajiingiza kichwa. Wooi. Na bado
Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali. Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa itajulikana ni jeshi lipi yeye asiogope. Huyo hata akijiuzulu haisaidiii walahi.
Rafiki yangu wa Siku nyingi nilikuambia mapema. Huyo Mzazi mwenzio ni mroho wa madalaka. Wee wajiingiza kichwa. Wooi. Na bado
Mipasho miiingi, mnajiongelesha mnajichekesha, watanzania wamechagua amani wameamua kuachana na kauli mbiu zenye kuhamasisha machafuko.
 
Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali. Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa itajulikana ni jeshi lipi yeye asiogope. Huyo hata akijiuzulu haisaidiii walahi.
Rafiki yangu wa Siku nyingi nilikuambia mapema. Huyo Mzazi mwenzio ni mroho wa madalaka. Wee wajiingiza kichwa. Wooi. Na bado
Code kali funguka, after all JF imefungiwa, funguka tuelewe
 
Back
Top Bottom