The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,606
- 119,846
Mbona unajicontradict wewe mwenyewe kwa ulichokiandika hapo?Wale hawakubeba bomu wala silaha ,japo walidanganywa,walifanya kwa hiari yao bila kumsumbua yyte na kutaka madaraka wala nini , kule Sudan wanakimbiza kutawala mpaka kuharibu nchi ,utatawalje maskini wasio na lishe ,ule ni ujinga wakupitiliza