Jeshi nchini Gabon lapindua Serikali ya Ali Bongo

Mwisho wa hawa madikteta ni kifo kibaya sana...
Yuko wapi Tsar wa Russia? yuko wapi dikteta wa romania? wapi hitler, mussolini, mao, stalin, lenin, Habyarimana, mobutu, iddia amin n.k
 
"Kapinduliwa akiwa nje ya Nchi akipata matibabu" kumbe ndiyo maana Jiwe hataki kutoka Nchini akijua atakuta mwana si wake
 
Mbona kuna wanaokanusha? Gabon haifanani kabisa na Tanzania. Let them deal with the laden of their own deeds
 
Lakini mbona Museveni anaongoza vizuri tu.

Bob wine anamjua vzr,alitembezewa virungu mpk akawa anasema maweeeeeeeeeeeeeee,nyegeziiiiii


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
USA walilijua hilo
Wazungu wameona toilet paper haina kazi tena

Sent from my SM using Tapatalk
 
ALI BONGO, alizaliwa mama yake akiwa na miaka 15.

Baba yake, dikteta Omar Bongo Ondimba, alikuwa anafirigisa kisichana cha miaka 13, 14, akakitia mimba.

Kulala na watoto wadogo ni maadili machafu ya Kiafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…