Jeshi letu kazini

Huyu naye kazi atakuwa hana. Ngoja waone mabosi wake.
saaafi sana, picha kama hii na ile ya wale tarafiki wanao-kiss ndio dawa ya kuwapukutisha wasio na maadili.
 
kwa huo unyoaji hawezi kuwa askari polisi
 
Wakuu mimi niko kinyume kidogo,kama walivyowajibishwa wale matrafiki kwa nini wembe huo haukumnyoa aliyemteka Dr Ulimboka? mbona sheria hiyo haikumhukumu aliyeua na aliyeruhusu mauaji ya Mwangosi?
au ndo kile alichokisema Bwana Yesu hivi '' OLE WENU WAANDISHI NA MAFARISAYO WANAFIKI MNACHUJA MBU NA KUMEZA NGAMIA''
Si ajabu kwa huyu kuvua uniform kazini huenda akionekana kwa maboss wake atapoteza kazi kesho yake lkn majambazi na wauaji wataendelea kuwepo kazini.
 

Huyu sio yule mwera aliyekuwa kambeba mwenzake kule chaka pande za kagera?? akiondoka baa kwa masikitiko makubwa baada ya kupoteza kazi.
 

Attachments

  • TZ41 d.jpg
    76.3 KB · Views: 569
Utekaji wa Ulilmboka na mauaji ya Mwangosi ni mpango wa seriakli ya ccm. Hawawezi kuwajibishwa kwa kuwa walikuwa wanatekeleza ilani ya chama tawala. Huyu naye inategemea anamahusiano gani na wakubwa. Bado akujuana na kilindana phenomena ziko kwenye katiba ya ccm. Lakini pia kama anaweza kuwa na aina yoyote ya rushwa hata kama ni umbea na unafiki, anaweza kupona kwa kifungu cha sherina kinachosimamia rushwa kwenye katiba ya chama tawala na serikali yake.

Twendeni ndugu zangu, ipo siku Tanzania itakuwa huru.

 
ALICHOKOSEA HAPA NI KUTOKUVUA HUO MKANDA TU,OTHERWISE NI MAMBO YAKE PERSONAL.
18 Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;
 
Iringa CHECK POINT! Mpinga kazi unayo,naona utafukuza wote sasa!
 

Attachments

  • 1412943628154.jpg
    67.8 KB · Views: 382

Hapa ingetumika sheria iliyomwacha huru Clinton
maana hawa hawajaua mtu wametumia haki yao ya kikatiba,
achukuliwe hatua aliyewafuata vichakani kuwapiga picha.
Na kama ni suala la kutumia muda wa kazi kwa manufaa binafsi bado picha haionyeshi muda kama ilikuwa bado ni muda wa kazi au baada ya kazi.
Na heri hawa kuliko wanaotumia muda mwingi na fedha ya serikali kuwafanya waandamanaji wasio na silaha vilema wa maisha.
 
Huyu naye kazi atakuwa hana. Ngoja waone mabosi wake.
saaafi sana, picha kama hii na ile ya wale tarafiki wanao-kiss ndio dawa ya kuwapukutisha wasio na maadili.

Sasa hivi usidhani mtamfukuzisha kazi askari kwa mtindo huu. Viongozi wameshawashtukia watu wa mitandaoni hampendi polisi sasa mnatumia mitandao kufanya wapunguzane kama mlifanikiwa ile ya mwanzo sasa hivi hawarudii makosa ya kufanya maamuzi kwa mhemko wa mambo ya mitandao, ni swala la kinidhamu wataonyana kimya kimya na hamtaambulia kitu na roho zenu mbaya.
 
Iringa CHECK POINT! Mpinga kazi unayo,naona utafukuza wote sasa!
Na kibaridi cha Iringa kweli sipati picha..lakini huyu mmama ni mnene jamani kazi ya upolisi inayohitaji ukakamavu anaiweza kweli?
 
kwa huo unyoaji hawezi kuwa askari polisi

Hata mimi hapo niko na mashaka hawa police mbona watashaa na hivi watu walivyoku wa na usongo nao wakipokea tu rushwa hadharani wanalo.
 
Gedo niaje aiseee... habari ya masiku tele..??? Uko dar hii hii..????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…