Jeshi letu na Waziri wake(Mwinyi) ni big joke!
Je umeshasikia milipuko ya mabomu kwenye army barracks ndani ya jiji lolote kwenye nchi yenye "amani na utulivu"?Above that ,tangu Mbagala kulipuka:
Kuna taarifa yoyote independent imetolewa na kusomwa bungeni?
Top brass wa JWTZ ni corrupt ,hasa baada ya serikali ya Mwalimu kuondoka.
Kwa kuwa JWTZ wamenunuliwa na chama tawala,good salaries,pension,bia za bure etc
hata uchaguzi wa top brass wa JWTZ ni politics,wengi sasa ni YES men.hakuna professionalism at all.
You never know hata haya mabomu,may yalinunuliwa tayari expired,due to corruption.
I cry to my beloved TANGANYIKA.