Jeshi la Rwanda

Jeshi la Rwanda

mkuu nina uzoefu na waethiopia,ila wanawake wa kiethiopia hawana shida kabisa,ila hawa wanyarwanda nimekutana nao nawaona si wakujichanganya sana na watu wa mataifa mengine,wanapenda sana kujichanganya wenyewe

Wanyarwanda kwa swala la mapenzi ni wewe tu ushindwe.
 
Wanyarwanda kwa swala la mapenzi ni wewe tu ushindwe.
Ila bhana watoto wazuri kama hawa nikienda kwao sijali elimu zao wala nini au wa kijijini
 
Wanamwaga maji Si mchezo hao mi nipo huku huu Nina mwaka sasa ,nikijisikia naburudika tu
 
mkuu ni wazuri kweli,kuna binti anafanya moyo wangu udunde pah pah pah,yaani huu mwezi wa nne anakubali hapo hapo kama anachomoa,mpaka naanza kukata tamaa

Achana nao mkuu, kimaadili sio wazuri kivile..sijui ni culture ama ni nini? #fromExperience
 
Ikitokea vita naomba nipelekwe mstari wa mbele

11012965_832074016889581_8887604000070887254_n.jpg

Daaah.. Waasi wakichafue tukalinde amani huko jamani.. Waasi kichafueni jamani.

Yani ni mmoja tu ndio kajitahidi kusimama kijeshi.. Ila hawa watoto natamani nihamie hata Jeshi lao.
 
Daaah.. Waasi wakichafue tukalinde amani huko jamani.. Waasi kichafueni jamani.

Yani ni mmoja tu ndio kajitahidi kusimama kijeshi.. Ila hawa watoto natamani nihamie hata Jeshi lao.

Wanaonekana walaini mno
 
Achana nao mkuu, kimaadili sio wazuri kivile..sijui ni culture ama ni nini? #fromExperience

Aisee huyo amenisumbua sana,mnaweza kuelewana,akishakuwa na wa huko kwao anabadilika,ndo nikaona hapa hamna mtu
 
Kwa hali hii kuoa bongo ni ndoto....tena ya mchana!
 
Wanamwaga maji Si mchezo hao mi nipo huku huu Nina mwaka sasa ,nikijisikia naburudika tu

Sasa hizo si ndo raha zenyewe mkuu unaogelea vizuri kuliko kulima kwenye ukame na jangwa
 
Hao unaowaona ni watutsi, wahutu ni wanene na hawana tofauti sana na wabongo, ukiona mnyarwanda mwenye mwili kama wa rais wao paul kagame jua ni mtutsi huyo na wengi wao ni warefu.

inategemea tafsiri yako ya urembo, wahutu hawana tofauti yoyote kimuonekano na wanawake wote wabantu, i.e Tanzania, kenya, uganda, zambia, south africa.....
Ahsanteni sana kwa kunifahamisha
 
Back
Top Bottom