Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 368
- 498
inaonekana we mmojawapo wa yule askari jambazi naitabidi tu wawaseme maana hamna namnaHabari wana jf..
Wakati nikilisikiliza Clouds ...Leo nilisikia wakilichana jeshi la polisi.....Kwa kweli nilisikitishwa sana kama jeshi la polisi litakaa kimya dhidi ya huu upuuzi ambao unafanywa na clouds fm.
Nitakuwa wa kwanza kulishangaa hivi nini maana ya jeshi.....Ni lazima wawafundishe hao clouds fm utofauti uliopo kati ya jeshi na taasisi zingine za mkonge...Haiwezekani haiwezekani haiwezekani... Watieni adabu hao.