HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,671
Kweli mkuu? Kweli unasema hivyo?Hayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!
Hata Ulaya na America mambo haya yanatokea sana. So tusiyakuze kiviile...
Ben saanane!!! Sometimes najipa moyo ...
Hivi nyie ni binadamu kweli?Hasa kule Canada kila siku mauaji yatokea hatujasikia Waziri wao Mkuu akilaumiwa.Dr Mihogo kipindi akiuza Supermarket alishuhudia mauaji sasa sisi tunashangaa nini.
Ni wakati wa kumuunga mkono mtukufu yuleee
Ushasema zetu sio zako..... Halafu haki haiombwi.... Endelea kuropoka... Siku yakikikukuta uyamalize huko hukoMkuu Lissu ni kidampa tu hana chochote pia msaliti wa nchi hii. Yaani watumie kodi zetu kuleta wapelelezi toka nje. Ikiwa hivyo hata mimi nitaandamana kupinga ujio wa wapelelezi toka nje!!
Mleta mada kaja kuwang'ong'a watu visogoni. Kwa ukarimu wa kitanzania inabidi tuchangie kile anachopenda kukisikia.Kweli mkuu? Kweli unasema hivyo?
Eeee nashukuru ww mwenye roho ya chumaHayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!
Hata Ulaya na America mambo haya yanatokea sana. So tusiyakuze kiviile...
Hata mimi sijaamini kama ni yeye aliyeandika hiyo threadMaajabu ya mwaka ! Nyani ngabu anauchungu na Tundu Lissu leo ?
Hayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!
Hata Ulaya na America mambo haya yanatokea sana. So tusiyakuze kiviile...
Mkuu Nyani Ngabu heshima kwako.
Leo umeleta hoja ya msingi sana.
Popote duniani polisi hutoa updates hata ya asilimia kadhaa ya uchunguzi kila stage.
Shangaa Tanzania tunaambiwa vyombo vya usalama vinachunguza na vitatoa majibu itakabobidi. Sasa je unajiuliza ni lini?!
Wao watasema tuviachie vyombo vya dola.
Ni kweli tumeviachia sasa mpaka lini?
Wanasisitiza yeyote mwenye taarifa za kuwasaidia awapelekee maana wana nia njema.
Unajiuliza kwani hiyo nia njema ni lazima kuisema sema!?..
Anyway acha tu wajifanyie wanavyotaka.
Maana lile la Ben Sanane lina mwaka na miezi mitatu sasa na lenyewe bado wanachunguza.
Hawajui kama kafa au yu hai.
Hao ndo PT. POLICE TANZANIA
Cc: Nyani Ngabu
Mkuu ndio maana wakati wabunge wa Chadema wanamshangilia Kikwete wengine tulishangaa mno!!! Unajua upinzani haujielewi na mbaya zaidi watu kama nyie ambao ni great thinker mmeamua kuwaunga mkono tuuuu hata pale wanapohitaji kukosolewa! Ndio maana sasa tunakula fimbo bila huruma na hatuwezi hata kuvuta nguvu ya umma against it ....very very bitter truth ambayo hamtaki tuseme ....tuna kazi ya kujipanga upya .....wako wengi sana wameumizwa na jitihada zikafanyika ionekane wanaohusika ni chadema.
..Sijui kama unakumbuka wakati wa Dr.Slaa wananchi wangapi waliumizwa.
..kuna mtoto wa miaka 7 au 9 alipoteza maisha kwa kupigwa na risasi wakati Polisi wakitawanya mkutano wa Chadema.
..Wako walioawa Singida, Morogoro, Geita, Arusha,..orodha ni ndefu kwa kweli.
Mi ang'onge au amaanishe shauri lake bana.... Ila kwa hali inayo endelea nchini tuweke mzaha pembeni.. Vifo vinaumizaMleta mada kaja kuwang'ong'a watu visogoni. Kwa ukarimu wa kitanzania inabidi tuchangie kile anachopenda kukisikia.
Hawa wanaoendelea kuuwawa wana madereva?! Mawazo ameuawa mchana kweupe nani ameadhibiwa?! Vijana wa Tarime wamekatwa mapanga mchana nani kawajibishwa?!Hivi dereva wa Lissu yuko wapi mpaka leo.?
Ndugu ulitegemea nini??? Kama kuvaa tisheti iliyo andikwa pray for Lissu unakamatwa na kuswekwa ndani!!!, Unategemea nini chanya kutoka pande hizo?Hii siyo sawa kabisa.
Inaenda kukaribia miezi sita sasa tokea Tundu Lissu anusurike katika shambulizi la kutaka kumuua.
Tukio lilitokea mchana kweupe, tena kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa bunge na serikali.
Cha ajabu kabisa [at least kwangu mimi], hakuna hata updates kutoka kwa jeshi la polisi kuhusu huo uchunguzi umefikia wapi.
Hata kutaja personof interest hakuna! Kutaka suspecthakuna!
Sasa watu tuwafikirieje hao polisi?
Au ni mimi tu ambaye sijui kuwa wanatoa updates?
Huu ukimya wa polisi unatoa uhalali kwa tuhuma za uhusikaji wa serikali katika zoezi zima.
Ajabu kabisa!!!