Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,421
Mleta mada ameleta ili kuwaKuna vitu vya kuiga lkn sio ujinga kama huu, narudia tena tuige mazuri haya mengine tuwaachie wenyewe
Ingekuwa hivyo Marekani na Uingereza kila baada ya miaka minne wana recruit wafanyakazi wapya wenye uanachama wa chama tawala kwa wakati huo.
Mkuu tuseme ukweli kama Chadema tayari wameshaituhumu serikali na polisi pia hata wanapotaka kuwahoji key witness akiwemo Lissu na dereva wake wanaleta mizengwe unategemea nini hapo? Hata ningekuwa mimi sifanyi chochote si huna imani na mimi?? Lissu na Chadema hawanaimani na Polisi ndiyo maana hawatoi ushirikiano sasa watoe update ipi??
Hayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!
Hata Ulaya na America mambo haya yanatokea sana. So tusiyakuze kiviile...
Kiukweli hii haikubaliki ...mbaya zaidi mauaji ya kisiasa yanaendelea na yote hakuna taarifa za maana nini kinatokea!!! What is this???? We are not fool!!!Hii siyo sawa kabisa.
Inaenda kukaribia miezi sita sasa tokea Tundu Lissu anusurike katika shambulizi la kutaka kumuua.
Tukio lilitokea mchana kweupe, tena kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa bunge na serikali.
Cha ajabu kabisa [at least kwangu mimi], hakuna hata updates kutoka kwa jeshi la polisi kuhusu huo uchunguzi umefikia wapi.
Hata kutaja personof interest hakuna! Kutaka suspecthakuna!
Sasa watu tuwafikirieje hao polisi?
Au ni mimi tu ambaye sijui kuwa wanatoa updates?
Huu ukimya wa polisi unatoa uhalali kwa tuhuma za uhusikaji wa serikali katika zoezi zima.
Ajabu kabisa!!!
Zungu Pule,Mmh!.kazi ipoEndelea kusubiri utapata updates siku si nyingi. Tena matokeo ya uchunguzi wa tukio la kushambuliwa kwa Lissu yatatangazwa na Amiri Jeshi Mkuu wenyewe na matangazo yatakuwa mubashara kutokea viwanja vya ikulu.
Jukumu la Polisi na wajibu wao katika hili swala si kwa Chadema bali TAIFA.Mkuu tuseme ukweli kama Chadema tayari wameshaituhumu serikali na polisi pia hata wanapotaka kuwahoji key witness akiwemo Lissu na dereva wake wanaleta mizengwe unategemea nini hapo? Hata ningekuwa mimi sifanyi chochote si huna imani na mimi?? Lissu na Chadema hawanaimani na Polisi ndiyo maana hawatoi ushirikiano sasa watoe update ipi??
Kiukweli hii haikubaliki ...mbaya zaidi mauaji ya kisiasa yanaendelea na yote hakuna taarifa za maana nini kinatokea!!! What is this???? We are not fool!!!
Kiukweli hii haikubaliki ...mbaya zaidi mauaji ya kisiasa yanaendelea na yote hakuna taarifa za maana nini kinatokea!!! What is this???? We are not fool!!!
Jukumu la Polisi sio kutimiza imani ya Tundu Lissu bali kutekeleza wajibu wao kwa TAIFA...kama Polisi wanaamini TL hana imani nao basi wanapaswa kushirikisha wapelelezi toka nje ya nchi ambao kila upande utakuwa na imani nao.
.
Mkuu Lissu ni kidampa tu hana chochote pia msaliti wa nchi hii. Yaani watumie kodi zetu kuleta wapelelezi toka nje. Ikiwa hivyo hata mimi nitaandamana kupinga ujio wa wapelelezi toka nje!!..kama Polisi wanaamini TL hana imani nao basi wanapaswa kushirikisha wapelelezi toka nje ya nchi ambao kila upande utakuwa na imani nao.
.
Wapinzani walishajinyonga wenyewe 2015 nashangaa why this kipindi hiki ambacho CCM walikuwa walau na hoja za kusimama nazo! Vitu vingine havielezeki kama huna ushabiki wa vyama na unahitaji majibu .....nchi inanyooshwa.
..wapinzani wanabatizwa kwa moto.
.Mkuu Lissu ni kidampa tu hana chochote pia msaliti wa nchi hii. Yaani watumie kodi zetu kuleta wapelelezi toka nje. Ikiwa hivyo hata mimi nitaandamana kupinga ujio wa wapelelezi toka nje!!
Wapinzani walishajinyonga wenyewe 2015 nashangaa why this kipindi hiki ambacho CCM walikuwa walau na hoja za kusimama nazo! Vitu vingine havielezeki kama huna ushabiki wa vyama na unahitaji majibu ...
HATA NYANI NGABU NI BINADAMU AMECHOSHWA NA MAUAJI YANAYOENDELE.Maajabu ya mwaka ! Nyani ngabu anauchungu na Tundu Lissu leo ?
Its mad .... kama upinzani hautakiwi si waufute kisheria tu!! Bunge ni lao ...serikali ni yao ....kwanini kuumizana na kuuwana? I didn't expect this seriously!!!..kweli.
..lakini ccm na vyombo vyake wamekwenda kujipakaza DAMU sasa wanahangaika jinsi ya kujichomoa.
..itafika wakati wananchi watakuwa na choice kati ya aliyechafuka kwa DAMU vs aliyechafuka kwa TOPE(rushwa, ..).
Hii siyo sawa kabisa.
Inaenda kukaribia miezi sita sasa tokea Tundu Lissu anusurike katika shambulizi la kutaka kumuua.
Tukio lilitokea mchana kweupe, tena kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa bunge na serikali.
Cha ajabu kabisa [at least kwangu mimi], hakuna hata updates kutoka kwa jeshi la polisi kuhusu huo uchunguzi umefikia wapi.
Hata kutaja personof interest hakuna! Kutaka suspecthakuna!
Sasa watu tuwafikirieje hao polisi?
Au ni mimi tu ambaye sijui kuwa wanatoa updates?
Huu ukimya wa polisi unatoa uhalali kwa tuhuma za uhusikaji wa serikali katika zoezi zima.
Ajabu kabisa!!!