Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,006
- 142,611
Nimeandika nikafuta,Hii siyo sawa kabisa.
Inaenda kukaribia miezi sita sasa tokea Tundu Lissu anusurike katika shambulizi la kutaka kumuua.
Tukio lilitokea mchana kweupe, tena kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa bunge na serikali.
Cha ajabu kabisa [at least kwangu mimi], hakuna hata updates kutoka kwa jeshi la polisi kuhusu huo uchunguzi umefikia wapi.
Au ni mimi tu ambaye sijui kuwa wanatoa updates?
Huu ukimya wa polisi unatoa uhalali kwa tuhuma za uhusikaji wa serikali katika zoezi zima.
Ajabu kabisa!!!
Nimeandika nikafuta,
Nikaandika tena nikafuta,
Nikaandika tena nikafuta,
Hayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!Hii siyo sawa kabisa.
Inaenda kukaribia miezi sita sasa tokea Tundu Lissu anusurike katika shambulizi la kutaka kumuua.
Tukio lilitokea mchana kweupe, tena kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa bunge na serikali.
Cha ajabu kabisa [at least kwangu mimi], hakuna hata updates kutoka kwa jeshi la polisi kuhusu huo uchunguzi umefikia wapi.
Au ni mimi tu ambaye sijui kuwa wanatoa updates?
Huu ukimya wa polisi unatoa uhalali kwa tuhuma za uhusikaji wa serikali katika zoezi zima.
Ajabu kabisa!!!
Ingekuwa hivyo Marekani na Uingereza kila baada ya miaka minne wana recruit wafanyakazi wapya wenye uanachama wa chama tawala kwa wakati huo.Hayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!
Hata Ulaya na America mambo haya yanatokea sana. So tusiyakuze kiviile...
Hii siyo sawa kabisa.
Inaenda kukaribia miezi sita sasa tokea Tundu Lissu anusurike katika shambulizi la kutaka kumuua.
Tukio lilitokea mchana kweupe, tena kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa bunge na serikali.
Cha ajabu kabisa [at least kwangu mimi], hakuna hata updates kutoka kwa jeshi la polisi kuhusu huo uchunguzi umefikia wapi.
Au ni mimi tu ambaye sijui kuwa wanatoa updates?
Huu ukimya wa polisi unatoa uhalali kwa tuhuma za uhusikaji wa serikali katika zoezi zima.
Ajabu kabisa!!!
MKUU, UNASHANGAA LEO? C MLISEMA KIKWAZO DEREVA..
naona umeamua kua kama kigwangala.unajamba nakuwahi kuwasha feni chap
Ndilo tatizo la watanzania, anasubiri wengine waseme,,,,Nimeandika nikafuta,
Nikaandika tena nikafuta,
Nikaandika tena nikafuta,
Kuna vitu vya kuiga lkn sio ujinga kama huu, narudia tena tuige mazuri haya mengine tuwaachie wenyeweHayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!
Hata Ulaya na America mambo haya yanatokea sana. So tusiyakuze kiviile...
Si amefichwa na Mbowe kule Nairobi.Dereva ni kikwazo kivipi?
Naona Kamanda mnafiki umerudi, Ahaa kamanda muoga akiishiwa pesa yupo ccm, Naona vyuma vimekaza Kamanda karudi tenaHii siyo sawa kabisa.