kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
Kwani kosa lake nini hadi wamkamate mahakamani?
Sidhani, hiyo hawatafafanya.Habari kutoka ndani kabisa huyu makamu mwenyekiti wa chadema ndio ameshapotezwa hatoonekana tena sababu alionekana anakiherehere kuwaaribia watawala ulaji wao hivyo wameona wampoteze na watanzania lazima watalalamika siku mbili watasahau hivyo ndugu zangu jiandaeni maisha mapya bila heche
Kwa nini mliruhusu akachukuliwa kama mlikuwa na mashaka na gari lililokuja kumchukua?Gari lililomchukua kiongozi wetu John Heche lilikuwa sio gari la Polisi lina namba za kiraia na halina isharo yoyote ya kuonyesha kuwa ni gari la Polisi Tanzania.
Mimi kwa bahati mbaya sikuwepo pale mahakamani.Kwa nini mliruhusu akachukuliwa kama mlikuwa na mashaka na gari lililokuja kumchukua?
Unaakili timamu?Sidhani, hiyo hawatafafanya.
Muulize mama yakoUnaakili timamu?
Ngoja nikushauri kitu. Hivi huwezi kujibu bila kejeli? Utajibiwa sawia unavyokujaUnaakili timamu?
Sio kweli na haiwezikani kutokea , uyu wanae ,acheni zua taarukiHabari kutoka ndani kabisa huyu makamu mwenyekiti wa chadema ndio ameshapotezwa hatoonekana tena sababu alionekana anakiherehere kuwaaribia watawala ulaji wao hivyo wameona wampoteze na watanzania lazima watalalamika siku mbili watasahau hivyo ndugu zangu jiandaeni maisha mapya bila heche
Nimekuuliza unaakili timamu maana kama haupo sawa kichwani mpaka Sasa unaamini mtu hawezi kubebwa msobemsobe tanzania hii na akapotea ndio maana nikakuuliza unaakili timamuNgoja nikushauri kitu. Hivi huwezi kujibu bila kejeli? Utajibiwa sawia unavyokuja
Nani kakuambia wanae?Sio kweli na haiwezikani kutokea , uyu wanae ,acheni zua taaruki
Kwa mahakama zipi??Dawa ni kuondolewa kinga ili mapolisi tuyapandishe vizimbani ili mkono wa sheria ufanye kazi yake hapo vipi wadau?
Mda mwalimuNani kakuambia wanae?
Kwani waliosema amepelekwa Tarime japo zipo taarifa Tarime hajaonekana kituo cha police si wao , sasa kama wamesema kwa nini tusiseme wanayeNani kakuambia wanae?
Let hiyo habari ya polisi wenyewe wakisema wanampeleka tarimeKwani waliosema amepelekwa Tarime japo zipo taarifa Tarime hajaonekana kituo cha police si wao , sasa kama wamesema kwa nini tusiseme wanaye
Juzi kuna Polisi na watekaji kadhaa wamehukumiwa miaka Saba kwa jaribio la kumteka raia.Kwa mahakama zipi??