sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,662
Tumekuwa tukipokea taarifa hapa kila siku juu ya ziara ya Dr Slaa inavyopata upinzani mikoani, ukianzia alipoanzia shinyanga na sasa kigoma. Jana tumekuwa mashahidi wa vurugu zilizoibuka katika mkutano wa hadhara pale kasulu ambao Slaa alikuwa akihutubia ikalazimu kuvunjika kwa huo mkutano kwa sababu ya vurugu.
Natoa ombi kwa jeshi la polisi kuzifuta ziara za Dr Slaa mikoani ili kuepusha rapsha na maandamano yasiyokwisha kila anapokanyaga slaa. Tunatambua nia njema ya ziara hizo lakini tunaogopa fujo zisi-escalate maeneo mengine mf ziara yake ya kigoma mjini wakati ipo njia bora ya kuepusha fujo hizi ikizingatiwa bado hajaenda mikoa mingine ambayo tayari waandamanaji watataka ku-imitate yaliyotokea shinyanga na kigoma.
Huu ni ushauri wangu, neno langu sio sheria nakribisha wenye mitizamo juu ya hili.