Tupime mafanikio ya ziara ya Kinana na Dr Slaa kwa vigezo vifuatavyo:

chambulilo

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
217
195
Ndugu wana jamii forum, kumekuwa na malumbano makubwa sana kuhusiana na mafanikio ya ziara zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa na makatibu wakuu wawili wa vyama vikubwa vya siasa hapa nchini, CCM na CHADEMA.

Hivi karibuni Katibu mkuu wa CCM, ndugu Kinana, alikuwa na ziara ya mikoa ya Ruvuma, Mbeya na Njombe. Tayari ndugu Kinana ameisha maliza ziara yake hiyo.

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Slaa anaendelea na ziara yake kwa mikoa ya Shinyanga, Kgoma, Tabora na Singida. Tayari Dr. Slaa ameishamaliza ziara yake katika mikoa ya Shinyanga na Kigoma.

Ndugu wana jamiiforum, niawaomba sasa tutumie vigezo vifuatavyo kupima mafanikio ya ziara za makatibu wa kuu hawa wawili katika mikoa miwili tu; yaani Ruvuma na Mbeya kwa Kinana; Shinyanga na Kigoma kwa Dr. Slaa.

VIGEZO

 1. Vurugu katika mikutano (mfano:- kurushwa mawe, mabomu ya machozo na mabango)
 2. Wingi wa kupokea wanachama wapya; kutoka vyama hasimu au watu wasio na chama
 3. Idadi ya mashina ya wakereketwa yaliyofunguliwa
 4. Ukamilifu wa ratiba (Yaani kufuata ratiba ilivyo pangwa kikamilifu)
 5. Kuvunjika kwa mikutano
 6. Idadi ya watu waliohudhuria mikutano ya hadhara

Ndugu wana jamiiforum naomba niishie hapa. Nimatumaini yangu tutatumia vigezo hivi kikamilifu na kwa uaminifu mkubwa bila kupendelea upande wowote. Majadiliano mema!
 
Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
5,755
2,000
Dr Slaa kwanza aliibuka Mshindi asilimia Mia moja kwa kuushinda uongo ambao wengi walitaka Ziara ile iairishwe kisa mamluki hawataki Dr Slaa afanye kazi yake, Kizuri zaidi Dr Slaa ni jasiri ambaye hajawahi kutokea katika karne ya 20/21 Ameendelea kusimania Kile anachoamini na kuwa Kweli.
Kwa ujumla Dr Slaa alikuwa The First Leader,s among of them.
 
Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
894
195
Wazo lako zuri, ila point zako hazina ufafanuzi wa kutosha, pia kumbuka kuwa unalinganisha timu mbili ambazo nyingini inaamini ktk MUNGU na Nyingine anaamini ktk SHETANI,jiulize haya, je waliohuthuria kwenye mkutano walikuja kwa usafiri gani? Je, waliohuthuria walilipwa? Nani alirusha mawe/wa chama gani?

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903

Mkuu, unanikumbusha ya Dr Slaa kuacha kumtumikia Mungu akaamua kumtumikia shetani. Unanikumbusha pia yanCHADEMA kusomba vijana wa kumshangilia Dr Slaa kwa malori kule kahama. Tehetehetehe
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Dr Slaa kwanza aliibuka Mshindi asilimia Mia moja kwa kuushinda uongo ambao wengi walitaka Ziara ile iairishwe kisa mamluki hawataki Dr Slaa afanye kazi yake, Kizuri zaidi Dr Slaa ni jasiri ambaye hajawahi kutokea katika karne ya 20/21 Ameendelea kusimania Kile anachoamini na kuwa Kweli.
Kwa ujumla Dr Slaa alikuwa The First Leader,s among of them.
Hujazingatia vigezo na masharti
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
CCM walikuwa wanakagua utekelezaji wa Ilani ya chama wakati CDM kupitia Dr Slaa walikuwa wanakagua Uhai wa chama. Hapa huwezi kulinganisha chama ambacho ni hai na chama ambacho hata uhai wake haujulikani yaani mahututi
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
dr slaa katia aibu kwa kiasi kikubwa sana ni aibu kwa katibu mkuu wa chama kama slaa anakwepa mawe kwenye mkutano mpaka anafanya mkutano kwa msaada wa polisi.
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Ratiba ya Dr Slaa imevurundwa hasa baada ya baadhi ya mikutano kukosa watu wakati ziara ya Kinana ilifanyika kama ilivyopangwa. Pia hapa tukumbuke kuwa Ziara ya Dr Slaa ilipaswa kuanzia Singida lakini ikarushwa hadi Kahama
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
kwanza slaa alifanya ziara ya kupambana na zitto wakati ccm walikuwa wanakagua utekelezaji wa ilani ya chama chao wakati slaa alikuwa anapima nguvu ya zitto kisiasa.
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
CCM walikuwa wanakagua utekelezaji wa Ilani ya chama wakati CDM kupitia Dr Slaa walikuwa wanakagua Uhai wa chama. Hapa huwezi kulinganisha chama ambacho ni hai na chama ambacho hata uhai wake haujulikani yaani mahututi

kule kigoma slaa aliwahi kupata watu 18 kwenye mkutano wake ilikuwa ni aibu kweli.
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
dr slaa katia aibu kwa kiasi kikubwa sana ni aibu kwa katibu mkuu wa chama kama slaa anakwepa mawe kwenye mkutano mpaka anafanya mkutano kwa msaada wa polisi.
Mkuu, nimecheka sana leo asubuhi wakati naangaliamtaarifa ya ITV pale Mwita Mwikabwe ambaye ameambatana na Dr Slaa aliposema kuwa watazidisha ulinzi wa Jeshi la Polisi kumlinda Dr Slaa ili asidhuriwe. Sasa nikajiuliza, hivi wale PolisiCCM sasa wamekuwa PolisimCHADEMA?
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
 
Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
498
250
Wazo lako zuri, ila point zako hazina ufafanuzi wa kutosha, pia kumbuka kuwa unalinganisha timu mbili ambazo nyingini inaamini ktk MUNGU na Nyingine anaamini ktk SHETANI,jiulize haya, je waliohuthuria kwenye mkutano walikuja kwa usafiri gani? Je, waliohuthuria walilipwa? Nani alirusha mawe/wa chama gani?

Chadema ni mashetani--occult-bloodsuckers--brainwasher
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom