Jeshi la Polisi nchini tunaomba mzifute ziara za Dr Slaa mpaka hali ya amani itakaporejea.

Kwa lipi? Kwa huo uhuni wa maccm na masalia? Ina maana jeshi la polis linawaogopa hao wahuni? Any way, kama kusitisha wasitishe labda huko kigoma, sisi tunatamani sana dr. Slaa aje huku kusini, kigoma wao hushabikia mtu na sio chama, na huo ni ubinafsi. TANZANIA KWANZA, NA chadema pia, zitto na wengine baadae!
 
Misemo ya Lema. Sikuizi haji tena JF ashamchafua zitto inatosha
Kamchafua ATM yako, hizo pesa zitaisha na feature yenu huko mbeleni ni mbaya sana. Mwanamke mzima kuishi kutegemea pesa za kuhongwa ili ufanye majungu ni balaa, huko CCM wapo watu waelewa sana na kuna day wstawapotezea hadi mshangae.
 
Ungeandika hivi : "Polisi tunaomba muongeze nguvu kuwabaini na kuwadhibiti watu wachache wanaotumika kuvuruga mikutano ya CHADEMA inayoendelea Kigoma. " Huu ndio ukweli wala huhitaji miwani ya mbao kuliona hili.
 
Tumekuwa tukipokea taarifa hapa kila siku juu ya ziara ya Dr Slaa inavyopata upinzani mikoani, ukianzia alipoanzia shinyanga na sasa kigoma. Jana tumekuwa mashahidi wa vurugu zilizoibuka katika mkutano wa hadhara pale kasulu ambao Slaa alikuwa akihutubia ikalazimu kuvunjika kwa huo mkutano kwa sababu ya vurugu.

Natoa ombi kwa jeshi la polisi kuzifuta ziara za Dr Slaa mikoani ili kuepusha rapsha na maandamano yasiyokwisha kila anapokanyaga slaa. Tunatambua nia njema ya ziara hizo lakini tunaogopa fujo zisi-escalate maeneo mengine mf ziara yake ya kigoma mjini wakati ipo njia bora ya kuepusha fujo hizi ikizingatiwa bado hajaenda mikoa mingine ambayo tayari waandamanaji watataka ku-imitate yaliyotokea shinyanga na kigoma.

Huu ni ushauri wangu, neno langu sio sheria nakribisha wenye mitizamo juu ya hili.

Acha kujifanya wewe mgeni huko CCM. Vitu kama hivi huombi jeshi la polisi... Unaomba kwa Mwigulu. Akipeleka wale maafande wake wa makao makuu wakiua wawili tu ziara inafutwa...
 
Ungeandika hivi : "Polisi tunaomba muongeze nguvu kuwabaini na kuwadhibiti watu wachache wanaotumika kuvuruga mikutano ya CHADEMA inayoendelea Kigoma. " Huu ndio ukweli wala huhitaji miwani ya mbao kuliona hili.

Mkuu, ni maneno sahihi pia, lakini unaweza ukaandika na wewe hivyo. Anzisha thread yako
 
Tumekuwa tukipokea taarifa hapa kila siku juu ya ziara ya Dr Slaa inavyopata upinzani mikoani, ukianzia alipoanzia shinyanga na sasa kigoma. Jana tumekuwa mashahidi wa vurugu zilizoibuka katika mkutano wa hadhara pale kasulu ambao Slaa alikuwa akihutubia ikalazimu kuvunjika kwa huo mkutano kwa sababu ya vurugu.

Natoa ombi kwa jeshi la polisi kuzifuta ziara za Dr Slaa mikoani ili kuepusha rapsha na maandamano yasiyokwisha kila anapokanyaga slaa. Tunatambua nia njema ya ziara hizo lakini tunaogopa fujo zisi-escalate maeneo mengine mf ziara yake ya kigoma mjini wakati ipo njia bora ya kuepusha fujo hizi ikizingatiwa bado hajaenda mikoa mingine ambayo tayari waandamanaji watataka ku-imitate yaliyotokea shinyanga na kigoma.

Huu ni ushauri wangu, neno langu sio sheria nakribisha wenye mitizamo juu ya hili.

Wewe ni mpumbafu sana na tunatambua kuwa ulikuwepo kigoma kuratibu hizo fujo ukishirikiana na magamba wenzio.kumbuka upuuz mnaoufanya una kikomo na siku zenu zinahesabika
 
...
Huu ni ushauri wangu, neno langu sio sheria nakribisha wenye mitizamo juu ya hili.
He he hee! Gamba linapotoa ushauri 'mzuri' kwa wapinzani wake. Dr ndio anachanja mbuga hivyo, hayo mabango ya box atawaacha nayo huko huko ya kulalia kwenye korido za maduka ya wahindi
 
Hahaha mkuu una majungu
 
Tumekuwa tukipokea taarifa hapa kila siku juu ya ziara ya Dr Slaa inavyopata upinzani mikoani, ukianzia alipoanzia shinyanga na sasa kigoma. Jana tumekuwa mashahidi wa vurugu zilizoibuka katika mkutano wa hadhara pale kasulu ambao Slaa alikuwa akihutubia ikalazimu kuvunjika kwa huo mkutano kwa sababu ya vurugu.

Natoa ombi kwa jeshi la polisi kuzifuta ziara za Dr Slaa mikoani ili kuepusha rapsha na maandamano yasiyokwisha kila anapokanyaga slaa. Tunatambua nia njema ya ziara hizo lakini tunaogopa fujo zisi-escalate maeneo mengine mf ziara yake ya kigoma mjini wakati ipo njia bora ya kuepusha fujo hizi ikizingatiwa bado hajaenda mikoa mingine ambayo tayari waandamanaji watataka ku-imitate yaliyotokea shinyanga na kigoma.

Huu ni ushauri wangu, neno langu sio sheria nakribisha wenye mitizamo juu ya hili.

Mnahofu gani Dr. akiendelea na ziara zake?
 
Anaetumia police nani sisi tunaoshauri au Dr slaa aliekolewa nao jana.

Siku zenu zinahesabika! kwa ujinga mlio nao mnadhani mnamsaidia huyo kibaraka wenu kumbe ndo mnampoteza.Siasa zimewashinda mmeamua kufanya fujo kwenye mikutano mkidhani mnakisaidia chama chenu cha magamba na makuwadi wake! Tunawakaribisheni MWANZA tarehe 14/12/2013 Mh Mbowe atakapokuwepo na msitegemee kuokolewa na policcm.Tumechoka na liwalo na liwe!
 
Kwani hao polisi wamekuambia hawajui wajibu wao?............... Wapigwe tu.
 
Tumekuwa tukipokea taarifa hapa kila siku juu ya ziara ya Dr Slaa inavyopata upinzani mikoani, ukianzia alipoanzia shinyanga na sasa kigoma. Jana tumekuwa mashahidi wa vurugu zilizoibuka katika mkutano wa hadhara pale kasulu ambao Slaa alikuwa akihutubia ikalazimu kuvunjika kwa huo mkutano kwa sababu ya vurugu.

Natoa ombi kwa jeshi la polisi kuzifuta ziara za Dr Slaa mikoani ili kuepusha rapsha na maandamano yasiyokwisha kila anapokanyaga slaa. Tunatambua nia njema ya ziara hizo lakini tunaogopa fujo zisi-escalate maeneo mengine mf ziara yake ya kigoma mjini wakati ipo njia bora ya kuepusha fujo hizi ikizingatiwa bado hajaenda mikoa mingine ambayo tayari waandamanaji watataka ku-imitate yaliyotokea shinyanga na kigoma.

Huu ni ushauri wangu, neno langu sio sheria nakribisha wenye mitizamo juu ya hili.

tunajua ombi hili ndilo lengo la wafanya vurugu hao wachache, nashukuru na polisi wamewajua
 
ushauri wako nisawa na nguvu za giza ambaye hataki kuhudhuria mikutano yake akae nyumbani hakuna mtu kabebwa nyumbani kwake akapelekwa mkutanoni kwa nguvu ambae hataki akae kwake na mkewe na watoto wake tunaotaka kuhudhulia tuachwe tumsikilize Rais wetu ajaye 2015.
 
Yamekuwa hayo tena? Kutoka blah blah za "Slaa hatakiwi Kigoma"hadi kuomba POLICCM wazuie mikutano lol! Mnatia huruma sana wanafiki wakubwa.
 
tunajua ombi hili ndilo lengo la wafanya vurugu hao wachache, nashukuru na polisi wamewajua

Ushauri wa mtoa hoja ni mzuri na wahekima sana. People's power sio tuu kwenye support hata kwenye opposition; there is people's power!
 
We endelea kula hela ya ccm kupitia mgongo wa kabwela na hicho kitrip chako cha kwenda kigoma kuratibu vurugu ili katibu wetu aonekane hatakiwi kigoma kitakutokea puani,cjui kama itarejea salama
 
Back
Top Bottom