Jeshi la Polisi nchini tunaomba mzifute ziara za Dr Slaa mpaka hali ya amani itakaporejea.

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
2,000
Tumekuwa tukipokea taarifa hapa kila siku juu ya ziara ya Dr Slaa inavyopata upinzani mikoani, ukianzia alipoanzia shinyanga na sasa kigoma. Jana tumekuwa mashahidi wa vurugu zilizoibuka katika mkutano wa hadhara pale kasulu ambao Slaa alikuwa akihutubia ikalazimu kuvunjika kwa huo mkutano kwa sababu ya vurugu.

Natoa ombi kwa jeshi la polisi kuzifuta ziara za Dr Slaa mikoani ili kuepusha rapsha na maandamano yasiyokwisha kila anapokanyaga slaa. Tunatambua nia njema ya ziara hizo lakini tunaogopa fujo zisi-escalate maeneo mengine mf ziara yake ya kigoma mjini wakati ipo njia bora ya kuepusha fujo hizi ikizingatiwa bado hajaenda mikoa mingine ambayo tayari waandamanaji watataka ku-imitate yaliyotokea shinyanga na kigoma.

Huu ni ushauri wangu, neno langu sio sheria nakribisha wenye mitizamo juu ya hili.
 
Honolulu

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
5,648
1,225
Tumekuwa tukipokea taarifa hapa kila siku juu ya ziara ya Dr Slaa inavyopata upinzani mikoani, ukianzia alipoanzia shinyanga na sasa kigoma. Jana tumekuwa mashahidi wa vurugu zilizoibuka katika mkutano wa hadhara ambao Slaa alikuwa akihutubia ikalazimu kuvunjika kwa huo mkutano kwa sababu ya vurugu.

Natoa ombi kwa jeshi la polisi kuzifuta ziara za Dr Slaa mikoani ili kuepusha rapsha na maandamano yasiyokwishakila anapokanyaga slaa. Tunatambua nia njema ya ziara hizo lakini tunaogopa fujo zisi-escalate maeneo mengine wakati ipo njia bora ya kuepusha fujo hizi ikizingatiwa bado hajaenda mikoa mingine ambayo tayari waandamanaji watataka ku-imitate yaliyotokea shinyanga na kigoma.

Huu ni ushauri wangu, neno langu sio sheria nakribisha wenye mitizamo juu ya hili.
“Nothing is more terrible than to see ignorance in action.” (Johaan Wolfgang Von Goethe)
 
bily

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
8,035
2,000
Yana kuhusu nini ziara ya Dr. Slaa yanayokuhusu ni ziara ya Kinana ebu tuache na chadema yetu hayakuusu kivyote. Fang na Buchanan ondoa hili takataka haraka hapa.
 
Last edited by a moderator:

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
21,999
2,000
such an arse... you cant get enough of Slaa cant you

it just degrade yourself to the core... mnabadili ID tu
 
sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
2,000
Yana kuhusu nini ziara ya Dr. Slaa yanayokuhusu ni ziara ya Kinana ebu tuache na chadema yetu hayakuusu kivyote. Fang na Buchanan ondoa hili takataka haraka hapa.

Mkuu, naona unawapangia Mods cha kufanya kw sababu unawaona ni wajinga. You are soo arrogant.
 
Last edited by a moderator:

kahtaan

JF-Expert Member
Jul 11, 2009
17,633
2,000
Wazo zuri sana mkuu.
Naunga mkono mia fil mia

Uchafuzi wa usalama na mazingira umezidi mno!
 
KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,831
1,195
Tumekuwa tukipokea taarifa hapa kila siku juu ya ziara ya Dr Slaa inavyopata upinzani mikoani, ukianzia alipoanzia shinyanga na sasa kigoma. Jana tumekuwa mashahidi wa vurugu zilizoibuka katika mkutano wa hadhara pale kasulu ambao Slaa alikuwa akihutubia ikalazimu kuvunjika kwa huo mkutano kwa sababu ya vurugu.

Natoa ombi kwa jeshi la polisi kuzifuta ziara za Dr Slaa mikoani ili kuepusha rapsha na maandamano yasiyokwisha kila anapokanyaga slaa. Tunatambua nia njema ya ziara hizo lakini tunaogopa fujo zisi-escalate maeneo mengine mf ziara yake ya kigoma mjini wakati ipo njia bora ya kuepusha fujo hizi ikizingatiwa bado hajaenda mikoa mingine ambayo tayari waandamanaji watataka ku-imitate yaliyotokea shinyanga na kigoma.

Huu ni ushauri wangu, neno langu sio sheria nakribisha wenye mitizamo juu ya hili.

Mbinu zenu zimeshindwa mmeamua kutumia polisi? Kama mnahamini huyo kibaraka wenu ananguvu kuliko chama kwanini mnahaa kupotosha umma?
 
DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,619
2,000
Yaonekana fungu la akina TUNTEMEKE na Sixgates limekwisha.Kwa post hii TeaMzitto na Magamba wapo hoi.
 
DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,619
2,000
Yaonekana fungu la akina TUNTEMEKE na Sixgates limekwisha.Kwa post hii TeaMzitto na Magamba wapo hoi.Rudi tandale bwana
 
sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
2,000
Mbinu zenu zimeshindwa mmeamua kutumia polisi? Kama mnahamini huyo kibaraka wenu ananguvu kuliko chama kwanini mnahaa kupotosha umma?

Anaetumia police nani sisi tunaoshauri au Dr slaa aliekolewa nao jana.
 
mapambanodaima

Senior Member
Oct 22, 2012
108
170
Ungewaambia vijana wa ccm waache hiyo tabia kwanza ndo utoe ushauri kwa jeshi ka polisi. Nimefuatilia thread zako nyingi ni za ushabiki mno ambazo hazina ukweli na unachokifikisha kwenye jamvi. Iko wazi kabisa mbinu na mikakati ya vurugu kwenye mikutano ya Dr.Slaa imeandaliwa na kuraribiwa na ccm kupitia mgongo wa Zitto na wala Zitto hahusiki na siyo lengo bali lengo ni kuharibu sura ya chama. Ila mtatia akili tu propaganda zenu mfu
 
Sina ushahidi kuwa kasulu palitokea fujo? Mbona taarifa na picha zipo hapa jf.
 
Makala Jr

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,395
1,195
Siamini kama ndugu yangu umebadilika na kuwa na poor reasoning kiasi hiki, for how long Dr.Slaa will fear those few arrogants?
 
chuki

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,705
1,500
Dr. Slaa anatafuta huruma ya wananchi,lakini kaa ukijua heshima yako inaporomoka thamani kama hela ya Zimbabwe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom